Watajua Cha kufanya! Siwezi umiza akili kisa mtu mwngn wengi hapo walikua wapiga kura, ko tusubirie sera za viongozi wao juu ya fursa & uwezeshajiHali ni ngumu.
Sijui tufanyeje.
Kama hao wanafunzi hawaumizi kichwa bas Wana namna yao wanaona watatoboaSera, Fursa na Uwekezaji. under ccm bado
Kuna zile fake promise za mauncle utasikia ukimaliza tuu chuo niambie nikutafutie kazi😂😂Si mchezo.
Wengine wanafikiria wenzao waliomaliza either hawana GPA nzuri au hawatafuti vizuri
Jambo zur kumaliza ni jambo lingine na kaz ni jamb lingine.Asubuhi nlipita hapo NIT kuna mwali nlienda kumwachia kidogo kitu ili afurahie degree yake ya marketing and public relation
Nikukomaaa tu mzee.Hali ni ngumu.
Sijui tufanyeje.
Simu azipatikani/awapokei😀Kuna zile fake promise za mauncle utasikia ukimaliza tuu chuo niambie nikutafutie kazi😂😂
Wazee wa connection?Kuna raia hapo anajisemea anakwenda kuwa mkurugenzi wa organization flan 😂
Sio wote mzee labda Diploma.Acheni hizo Kwaio watu wasifurahie mahafali kisa hakuna uhakika wa ajira.
Halafu msidhani kwamba ndio wametoka darasani jana kila mtu katoka kwake au kwao hapo mtaa wanaujua vizuri tu.
Wachache hupata hizo bahati wengi maneno tuKuna zile fake promise za mauncle utasikia ukimaliza tuu chuo niambie nikutafutie kazi😂😂