Nikiwaona Vijana wanaograduate, Nawahurumia sana

Nikiwaona Vijana wanaograduate, Nawahurumia sana

Aliyekuwepo ndani ya msitu hawezi jua ukubwa wa msitu ukitoka nje ndio unajua ukubwa wa msitu
Wakiwa vyuoni hawajui adha za kutembea na vyeti kwenye maofisi
 
Wale waliobadilisha vyuo vyetu vya Diploma vilivyokuwa bora ndani na nje ya Nchi kwa kuvifanya vitoe madegree
walituharibia sana mfumo wa Elimu
Vile vyuo vilikuwa vinawapa vijana ujuzi wa kujiajiri na kuajirika kwa Urahisi. Kimsingi vilikuwa vinawaandaa vijana kufanya kazi ..... badala yake tuna andaliwa vijana wa kusimamia kazi na kazi zenyewe hazipo.....
Hapa ndio shida. Degree inatayarisha zaidi viongozi na wasimamizi wengine. Hatuwezi wote kuwa viongozi.
 
Back
Top Bottom