Nikiwaona Vijana wanaograduate, Nawahurumia sana

Nikiwaona Vijana wanaograduate, Nawahurumia sana

Hali ni ngumu.

Sijui tufanyeje.
Tatizo lililopo ni mtazamo kwamba graduates wanatakiwa kuajiriwa, tena serikalini. Hii dhana kwa karne ya sasa haipo kwa sababu serikali, hasa huku kwetu, hazina uwezo wa kuajiri wote wanaograduate. Kuna umuhimu wazazi sasa kuangalia na kusaidia watoto wao waende universities kusomea fields ambazo Soko linazihitaji kama electronics, horticulture, floricultures, blogs and social media etc... Sijapata muda wa kufuatilia haya mabadiliko ya mitaala ya elimu kuona kama yameweza ku reflect these issues... Wenzetu wazungu, wachina na wengine wanawatupa watu wao kuja kufanya kazi huku kwetu kupitia grants na mikopo wanayotupa...
 
Exactly
 
Acheni hizo Kwaio watu wasifurahie mahafali kisa hakuna uhakika wa ajira.
Halafu msidhani kwamba ndio wametoka darasani jana kila mtu katoka kwake au kwao hapo mtaa wanaujua vizuri tu.
Ni angalizo tuu, kuna wengine wanakopa na kumaliza akiba zao kwenye mahafali wakitegemea ajira soon kumbe mtaani ni kugumu...
 
Wakuu leo katika pita pita zangu nimepita njia ambazo zina vyuo,
Mabibo(NIT) na Uhasibu (TIA).

Na leo kwenye vyuo hivi kuna Mahafali.

Watu ni wengi sana kwenye hayo maeneo.

Nimejikuta nawaonea sana huruma vijana hawa waliovyaa majoho yao na wamejipamba vizuri sana sura zao hasa wadada.

Nimereflect tu hali ya kitaa ilivyo. Nikawahurumia tena.

Hivi kuna ulazima sana?

Natamani wafanye kimya kimya.

Anyway Mungu awasaidie.

Tuwaombee Vijana.
Punguza majungu ndugu. Acha watu wafurahie mafanikio yao. Haya maisha ni ya kupita tu. Hapo kuna wengine wamesomeshwa na mama zao wauza vitumbua na leo wana-graduate, je wasisherehekee?
 
Wakuu leo katika pita pita zangu nimepita njia ambazo zina vyuo,
Mabibo(NIT) na Uhasibu (TIA).

Na leo kwenye vyuo hivi kuna Mahafali.

Watu ni wengi sana kwenye hayo maeneo.

Nimejikuta nawaonea sana huruma vijana hawa waliovyaa majoho yao na wamejipamba vizuri sana sura zao hasa wadada.

Nimereflect tu hali ya kitaa ilivyo. Nikawahurumia tena.

Hivi kuna ulazima sana?

Natamani wafanye kimya kimya.

Anyway Mungu awasaidie.

Tuwaombee Vijana.
Watuletee hizo nyapu maofisini tuzitendee haki
 
Kila mtu na bahati zake kwenye swala la ajira...nikikumbuka 2015 niliyomaliza chuo, nilikuwa na uhakika wa ajira 100% kutokana na connection ya mzee wangu alikuwa kwenye hiyo private sector. [emoji23][emoji1787] Nilichotarajia kikawa tofauti kutokana na mwenda zake kuchukua nchi, Private sector nyingi zilikufa...
So ukaangukia pua kwenye lami.
 
Back
Top Bottom