Artificial Horizon
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 495
- 1,109
Sasa mtu kama liza chuo July graduation kaja kufanya December haujui vipi mtaa wakati ndio tunakoishi wote.Sio wote mzee labda Diploma.
Sasa mtu kama liza chuo July graduation kaja kufanya December haujui vipi mtaa wakati ndio tunakoishi wote.Sio wote mzee labda Diploma.
Kabisa mkuuWachache hupata hizo bahati wengi maneno tu
Wenyre connection pekee ndio watakao toboa.Wakuu leo katika pita pita zangu nimepita njia ambazo zina vyuo,
Mabibo(NIT) na Uhasibu (TIA).
Na leo kwenye vyuo hivi kuna Mahafali.
Watu ni wengi sana kwenye hayo maeneo.
Nimejikuta nawaonea sana huruma vijana hawa waliovyaa majoho yao na wamejipamba vizuri sana sura zao hasa wadada.
Nimereflect tu hali ya kitaa ilivyo. Nikawahurumia tena.
Hivi kuna ulazima sana?
Natamani wafanye kimya kimya.
Anyway Mungu awasaidie.
Tuwaombee Vijana.
Pole sana mkuu.Kila mtu na bahati zake kwenye swala la ajira...nikikumbuka 2015 niliyomaliza chuo, nilikuwa na uhakika wa ajira 100% kutokana na connection ya mzee wangu alikuwa kwenye hiyo private sector. [emoji23][emoji1787] Nilichotarajia kikawa tofauti kutokana na mwenda zake kuchukua nchi, Private sector nyingi zilikufa...
Hao wote ni askari wa kuja kuleta mabadiliko kwenye nchi yetu. Ni suala la muda tu kwani hali ilivyo mtaani inaonyesha siku za CCM za kwenda kuzimu zinakaribia.Wakuu leo katika pita pita zangu nimepita njia ambazo zina vyuo,
Mabibo(NIT) na Uhasibu (TIA).
Na leo kwenye vyuo hivi kuna Mahafali.
Watu ni wengi sana kwenye hayo maeneo.
Nimejikuta nawaonea sana huruma vijana hawa waliovyaa majoho yao na wamejipamba vizuri sana sura zao hasa wadada.
Nimereflect tu hali ya kitaa ilivyo. Nikawahurumia tena.
Hivi kuna ulazima sana?
Natamani wafanye kimya kimya.
Anyway Mungu awasaidie.
Tuwaombee Vijana.
Halafu bada ya kuhitimu tu uncle anaacha kupokea simuKuna zile fake promise za mauncle utasikia ukimaliza tuu chuo niambie nikutafutie kazi😂😂
Wakati wanaenda vyuoni mimi nilikuwa nauza supu asubuhi na chapati, jioni wakirudi mimi nilikuwa natoka kwenye kibarua cha ujenzi nilichoingia saa sita mchana! Nimejaliwa ka lodge sasa hivi! Hesabu simuamini mtu ng’o!!! Napiga mwenyewe oncome and expenditure na manunuzi nafanya mwenyewe!Taasisi za fedha zipo nyingi sana zinawahitaji ila wawe na uvumilivu katika kipindi chote cha kupata ajira. Kuhitimu taaluma hiiyo si lazima waajiriwe wote, wengine watalazimika kufanya shughuli ambazo hawakuzisomea, wajiandae kisaikolojia kuwa na altenative way kufanikiwa maishani mwao
sipingani na hoja yako ni murua na inafikirisha, kusoma tusome tu kadiri ya madarasa tutakayofikia na degree tuzipate kwa wingi ili serikali au taasisi fulani ikihitaji wasomi wa kuwafanyia kazi isikose wafanyakazi. Sasa tukiacha kusoma kwa hofu ya kukosa ajira na kupoteza muda mbona nchi itakosa wasomi wa fani mbalimbali? Tusome tu huku tukiwa na tendence ya kufanya shughuli zingine za kiuchumi ambazo hatukizosomea kuajiriwa kwazo na hazipo kwenye system ya mafunzo rasmi, kuna ujasiriamali na uthubutu wa kuanzisha miradi nje na taaluma zetu tulizosomeaWakati wanaenda vyuoni mimi nilikuwa nauza supu asubuhi na chapati, jioni wakirudi mimi nilikuwa natoka kwenye kibarua cha ujenzi nilichoingia saa sita mchana! Nimejaliwa ka lodge sasa hivi! Hesabu simuamini mtu ng’o!!! Napiga mwenyewe oncome and expenditure na manunuzi nafanya mwenyewe!
Nahisi Kama, Ile Mobilization serikali haifanyi kabisa.sipingani na hoja yako ni murua na inafikirisha, kusoma tusome tu kadiri ya madarasa tutakayofikia na degree tuzipate kwa wingi ili serikali au taasisi fulani ikihitaji wasomi wa kuwafanyia kazi isikose wafanyakazi. Sasa tukiacha kusoma kwa hofu ya kukosa ajira na kupoteza muda mbona nchi itakosa wasomi wa fani mbalimbali? Tusome tu huku tukiwa na tendence ya kufanya shughuli zingine za kiuchumi ambazo hatukizosomea kuajiriwa kwazo na hazipo kwenye system ya mafunzo rasmi, kuna ujasiriamali na uthubutu wa kuanzisha miradi nje na taaluma zetu tulizosomea