Ni moja motivation kijana asome kwa bidii .....Elimu haimtupi mtu mkuu haijalishi miaka mingapi itapita ....chukua hiyo mkuuUsimpe mtu expectation za uongo then baadae unaacha kupokea simu, so nawewe unasapoti huo upuuzi?
Watapata tuHivi unajua vijana wenye kazi ni rahisi zaidi kupata kazi kuliko wale wasiokuwa nazo?
Kuna vijana nawajua hakai mahali miaka 3.
Ni organization over organization.
Akili za kipumbavuWakuu leo katika pita pita zangu nimepita njia ambazo zina vyuo,
Mabibo(NIT) na Uhasibu (TIA).
Na leo kwenye vyuo hivi kuna Mahafali.
Watu ni wengi sana kwenye hayo maeneo.
Nimejikuta nawaonea sana huruma vijana hawa waliovyaa majoho yao na wamejipamba vizuri sana sura zao hasa wadada.
Nimereflect tu hali ya kitaa ilivyo. Nikawahurumia tena.
Hivi kuna ulazima sana?
Natamani wafanye kimya kimya.
Anyway Mungu awasaidie.
Tuwaombee Vijana.
Ni moja motivation kijana asome kwa bidii .....Elimu haimtupi mtu mkuu haijalishi miaka mingapi itapita ....chukua hiyo mkuu
Kuna Kijana nilimshauri asome kile anachopenda, akaniambia yeye anasoma kile ambacho ajira zake ziko kirahisi.Watapata tu
Kila mtu na rizki yake
Ila katika kupata ndio hivyo kila mtu anapata kwa wakati wake.
Wengine watawahi, na wengine watachelewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa anajutia sasahivi.Kuna Kijana nilimshauri asome kile anachopenda, akaniambia yeye anasoma kile ambacho ajira zake ziko kirahisi.
[emoji4]
Nenda, ntakuja kukuvisha TAJI.Graduation siendi, ni usenge tu.
Ukisoma unachokipenda hata ufanisi unakuwa mzuriAtakuwa anajutia sasahivi.
Heri mtu usome kile unachopenda,hata ajira ikisumbua lakini unajua ni kitu unapenda.
Unasoma kitu hupendi,ajira unakosa
Hata ukipata ,hauwi na furaha na unachokifanya.
Sent using Jamii Forums mobile app
cheti(transcript😅) wananipa mwezi wa 9,Nenda, ntakuja kukuvisha TAJI.
Nyakati zako hukuvaa waache wavae, acha kujifanya una huruma!, kila mtu ana mkate wakeWakuu leo katika pita pita zangu nimepita njia ambazo zina vyuo,
Mabibo(NIT) na Uhasibu (TIA).
Na leo kwenye vyuo hivi kuna Mahafali.
Watu ni wengi sana kwenye hayo maeneo.
Nimejikuta nawaonea sana huruma vijana hawa waliovyaa majoho yao na wamejipamba vizuri sana sura zao hasa wadada.
Nimereflect tu hali ya kitaa ilivyo. Nikawahurumia tena.
Hivi kuna ulazima sana?
Natamani wafanye kimya kimya.
Anyway Mungu awasaidie.
Tuwaombee Vijana.
Joho lina raha yakeKwasasa kwa kweli hazina maana.
Unatumia 200k kufanya mahafali.
Mtaji wa yeboyebo kabisa huo
Mnapewa cheti kabla ya gradu?cheti wananipa mwezi wa 9,
graduu december, joho 75k, sibaki nalo
aisee hawanipati ng'o