The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,970
Yaani kuwaona Vijana kama wamepotea eti Kila anaegraduate lazima ataingia kusaka Ajira.Zipi sasa?
Kusoma ni kutoa ujinga na kuongeza maarifa
Yaani kuwaona Vijana kama wamepotea eti Kila anaegraduate lazima ataingia kusaka Ajira.Zipi sasa?
Kweli kabisa MkuuUkisoma unachokipenda hata ufanisi unakuwa mzuri
Wacha tuwasubirie mtaani tuWakuu leo katika pita pita zangu nimepita njia ambazo zina vyuo,
Mabibo(NIT) na Uhasibu (TIA).
Na leo kwenye vyuo hivi kuna Mahafali.
Watu ni wengi sana kwenye hayo maeneo.
Nimejikuta nawaonea sana huruma vijana hawa waliovyaa majoho yao na wamejipamba vizuri sana sura zao hasa wadada.
Nimereflect tu hali ya kitaa ilivyo. Nikawahurumia tena.
Hivi kuna ulazima sana?
Natamani wafanye kimya kimya.
Anyway Mungu awasaidie.
Tuwaombee Vijana.
ajira nina uhakika ila sipendi sherehe vibaya mno🤣Mnapewa cheti kabla ya gradu?
Basi nimekukosa, nilitaka nije 😂🙈🙈
Graduu tamu ukiwa na uhakika wa ajira. Hapo utacheza sebene na kukata mauno ya hela yote mixer kutikisa wowowo kimgandisho.
Sio unagraduate kwende kuuza chips, hata mood inakata ,😂😂
Daah kumbe uhakika wa ajira upo baba?? Hongera sana 😂😂😂ajira nina uhakika ila sipendi sherehe vibaya mno🤣
Kuongeza maarifa ya kuuza chips 😂😂😂😂kusoma ni kutoa ujinga na kuongeza maarifa
Acha usiuze uone motoKuongeza maarifa ya kuuza chips 😂😂😂😂
Kuna haja gani ya kupoteza mamilioni kusomesha WAUZA CHIPS?? 😝😝Acha usiuze uone moto
Tuwaombee Tu kaka...Wakuu leo katika pita pita zangu nimepita njia ambazo zina vyuo,
Mabibo(NIT) na Uhasibu (TIA).
Na leo kwenye vyuo hivi kuna Mahafali.
Watu ni wengi sana kwenye hayo maeneo.
Nimejikuta nawaonea sana huruma vijana hawa waliovyaa majoho yao na wamejipamba vizuri sana sura zao hasa wadada.
Nimereflect tu hali ya kitaa ilivyo. Nikawahurumia tena.
Hivi kuna ulazima sana?
Natamani wafanye kimya kimya.
Anyway Mungu awasaidie.
Tuwaombee Vijana.
Kwani Kila Kijana msomi anauza chips?Kuna haja gani ya kupoteza mamilioni kusomesha WAUZA CHIPS?? 😝😝
Nilikuwa naangalia takwimu za HESLB, ni MABILIONI yanateketea vyuoni kulipa ada ya MABODABODA WATARAJIWA 🤣
As an experienced investor, i would call this a Business with no commercial value.
Ni upumbafu, unachota mabilioni unayamwaga hewani PWAAAH halafu unakenua.
Hayo MABILIONI YA MIKOPO bora wangewapa wafungue biashara kuliko kupoteza muda kwenye SIFURI.
Huu ni ujinga, kama unakaa karibu na samia kamfikishie hili.Kwani Kila Kijana msomi anauza chips?
Acha usimsomeshe
Endelea kumsubiria Samia akitoe ujinga kichwani mwakoHuu ni ujinga, kama unakaa karibu na samia kamfikishie hili.
Mwambie watanzania wanalipa MABILIONI MENGI SANA kwa ajili ya kulipia ada ya MABODABODA WATARAJIWA huko vyuoni.
Ubodaboda hauhitaji CHUO KIKUU, unajifunza tu dakika mbili chuma kinawaka. Sio lazima usomee Ubodaboda MIAKA MINNE CHUO KIKUUU kwa mabilioni ya shilingi.
This is economics, value for money. Najua unakenua tu haujui hata uchumi ni nini.
Mwambie samia akuelekeze vizuri.
Una hoja kali sana.Huu ni ujinga, kama unakaa karibu na samia kamfikishie hili.