BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 9,528
- 24,071
Kwahiyo unauza chips? Au unadoea ubwabwa wa CCM?Endelea kumsubiria Samia akitoe ujinga kichwani mwako
Kwahiyo unauza chips? Au unadoea ubwabwa wa CCM?Endelea kumsubiria Samia akitoe ujinga kichwani mwako
Nadoea ubwabwaKwahiyo unauza chips? Au unadoea ubwabwa wa CCM?
Ndo maana hauna uchungu na MABILIONI tunayoyalipa vyuo vikuu kwa ajili ya mafunzo ya UBODABODANadoea ubwabwa
Usiwe na uchungu wewe unaetoa harafu Mimi ndio niwe na uchungu? Sina huo upumbavuNdo maana hauna uchungu na MABILIONI tunayoyalipa vyuo vikuu kwa ajili ya mafunzo ya UBODABODA
Haya.Usiwe na uchungu wewe unaetoa harafu Mimi ndio niwe na uchungu? Sina huo upumbavu
Kila mtu na bahati yake bhana.Wakuu leo katika pita pita zangu nimepita njia ambazo zina vyuo,
Mabibo(NIT) na Uhasibu (TIA).
Na leo kwenye vyuo hivi kuna Mahafali.
Watu ni wengi sana kwenye hayo maeneo.
Nimejikuta nawaonea sana huruma vijana hawa waliovyaa majoho yao na wamejipamba vizuri sana sura zao hasa wadada.
Nimereflect tu hali ya kitaa ilivyo. Nikawahurumia tena.
Hivi kuna ulazima sana?
Natamani wafanye kimya kimya.
Anyway Mungu awasaidie.
Tuwaombee Vijana.
Lengo la thd yako ni kuona kua hao vijana wanafurahia kumaliza elimu yao huku kitaani kukiwa kugumu,Nini faida ya kuvaa joho na kufanya mahafali?
The problem ni hii hatuna tena vichwa vinavyoitwa wasomi kama zamani! Kulikuwa na magenus aisee! Watu wabunifu, watu wenye maono! Sio wezi!sipingani na hoja yako ni murua na inafikirisha, kusoma tusome tu kadiri ya madarasa tutakayofikia na degree tuzipate kwa wingi ili serikali au taasisi fulani ikihitaji wasomi wa kuwafanyia kazi isikose wafanyakazi. Sasa tukiacha kusoma kwa hofu ya kukosa ajira na kupoteza muda mbona nchi itakosa wasomi wa fani mbalimbali? Tusome tu huku tukiwa na tendence ya kufanya shughuli zingine za kiuchumi ambazo hatukizosomea kuajiriwa kwazo na hazipo kwenye system ya mafunzo rasmi, kuna ujasiriamali na uthubutu wa kuanzisha miradi nje na taaluma zetu tulizosomea
Sio kila elimu hua inatolewa kwenye vyumba vyenye kuta nne,bila elimu nisingekua huku napiga box.chuo gani wanasomea kubeba mabox mvunja barafu hebu tuambie😂
Hao wasomi wa zamani wamefanya nini Cha tofauti?The problem ni hii hatuna tena vichwa vinavyoitwa wasomi kama zamani! Kulikuwa na magenus aisee! Watu wabunifu, watu wenye maono! Sio wezi!
Sasa hivi hakuna tena wasomi labda tunao waliofuta ujinga tu kwa maana ya kujua kusoma na kuandika! ila kusema wanesoma hakuna! Huko serikalini kuna bunifu zipi mpya na wanaajiri wasomi kila kukicha!!? Umeshaona kwenye TV hata siku moja hakuna afisa anakagua mradi asiagize ocd kuwa kamata weka ndani!!? Kisa wameiba! Yaani ukweli nashauri serikali ianzishe kuajiri kwa kupima uwezo wa ubunifu na uaminifu! Otherwise wizi as usual! Hata wakiwa wanachagua vyuo utawasikia, “ Daahh yaaani hii course ukipata shavu serikalini yaani ndani ya mwaka kama hujajenga ghorofa utakuwa fala”
I dont trust anyone who said nimesoma nchi hii otherwise aniambie amefuta ujinga tu!
Kuwawekea misingi imara ya utaifa na kulinda rasilimali ili kizazi kijacho ( ambacho ndio hiki kinachoua mashirika yoote ya umma yaliyoanzishwa na wasomi wa zamani )Hao wasomi wa zamani wamefanya nini Cha tofauti?
Kwa sasa waliowengi wanamaliza na ukimwi, chukua taadhariNatafuta kijana wa chuo aje nimtunze na kumlea.
Kawe kazuri kazuri kadogo dogo.
Nitamlipa laki mbili kwa mwezi.
ALISIKIKA BICHWA KOMWE AKISEMA.
Ni wachache watakaokuelewa na ili mtu akuekewe ni yule anafanyakazi tofauti na alichokisomea.Yaani kuwaona Vijana kama wamepotea eti Kila anaegraduate lazima ataingia kusaka Ajira.
Kusoma ni kutoa ujinga na kuongeza maarifa
Ni sherehe tu za kuhitimisha Safari yako ya kielimu kwenye ngazi husika, sio kosa kufanya wala sio vibaya kutofanya.Sahihi.
Kuna haja gani yakufanya mahafali?