Nikiweka fixed deposit 10M naweza kulipwa kiasi gani na bank kila mwezi?

Wenye hela za mawazo tunapenda sana kujifanya washauri kwa wenye hela kweli kweli
Yani anaona kila mtu yupo kwa ajili ya kufungua baro za mtumba mabanda ya chips na kununua bodaboda

Kitu cha kwanza alitakiwa ajiulize wewe hiyo million 10 umepata wapi na ushauri wake hapo.

Mtu anasema uvivu wa kufikiri kuweka 10M UTT wakati katika kuchangamka kwake kote unakuta hajawahi weka hata 5M kwa pamoja.

JF kuna ujuaji mwingi sana mzee.
 
Unataka kuniambia mleta mada huna business idea yeyote kwenye akili yako yaku generate income unayotaka kwenye hiyo capital

Trust your intuition
 
Wataalamu wa bank, je naweza kuweka deposit kiasi cha hela kama 10m halafu kila mwezi bank inanilipa riba? Na je watanilipa kiasi gani kila mwezi? Wakati huo hela yangu ipo tu bank?
Mi milioni kumi napata kama laki na kitu kila mwezi
 

Na kila siku hua nawauliza Hawa wanaoponda kwmb mtu amefikishaje Milioni 10 km sio mfanyabiashara mchapakazi?
 
Na kila siku hua nawauliza Hawa wanaoponda kwmb mtu amefikishaje Milioni 10 km sio mfanyabiashara mchapakazi?
Humu JF kuna watu wanapenda kuwaingilia sana watu mkuu na una moyo sana kuwajibu kila siku

Kuna wakati Biashara hazisomi mtu unakaa pembeni wao wanakuja na ushauriiii.

Halafu watoa ushauri karibu wooote ushauri unafanana bodaboda, banda la chips, nunua mpunga, forex, weka odd 2.

Unajua hawa watoa ushauri waganga njaa wenzangu.
 

Semina inafanyikia wapi?
 
Fixed uzushi tu labda kama unataka ikae huko kwa muda tu ili usijeitumia ndivosivo!
 
10 Milion Unaweza Jenga Vyumba 2 , Sebule , Jiko ,Choo ?
 
Huyo ni wakala wa UTT

Kingine watu hawaelewi kuwa thamani ya pesa yetu imeshuka sana mwanzo mwaka jana dollar ililiwa 2360, leo ni 2425
 
Naombeni msaada?
Je utt liquid fund ina gawio kwa kila mwezi kwa mwekezaji? Au ni lile ongezeko la thamani ya kipande pekee?.Na kama kuna gawio linaanza kwa mwekezaji aliwekeza kiasi gani cha fedha?
 
Millioni kumi. Tafuta chuo kikuu haps dsm chenye demand kubwa ya wanachuo , angalia eneo zuri ununue ujenge vyuumba vya kupsngisha wanachuo tena kama ukipata eneo la million 3 , ukajenga vyumba 15 (au ndan yake 6 ni self) ukaongezea pindi ikipelea ,,aseewe hiyo investment itazalisha hela Vitukuuu na vining'ina....
 
Eneo lililokaribu na chuo kikuu liuzwe million 3?
Lenye uwezo wa kujenga vyumba 15?
Self contained bedroom 6?

Nyie jamani Nyie mbona mambo ya kufikirika haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…