weka pesa kwa treasury bills 364 dayWataalamu wa bank, je naweza kuweka deposit kiasi cha hela kama 10m halafu kila mwezi bank inanilipa riba? Na je watanilipa kiasi gani kila mwezi? Wakati huo hela yangu ipo tu bank?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
weka pesa kwa treasury bills 364 dayWataalamu wa bank, je naweza kuweka deposit kiasi cha hela kama 10m halafu kila mwezi bank inanilipa riba? Na je watanilipa kiasi gani kila mwezi? Wakati huo hela yangu ipo tu bank?
Hii ni DCB Lamba kwanza 12% kuanzia 100m na 10% kuanzia 50m mpk 99m lakin miaka 4 nyuma walitoa offer ya 14% wajanja wakawapa ela zote wakae nazo.Majibu wa jamaa wa TIB
Ukiweka mzigo kwa miaka miwili mfurulizo ni 11% kwa kila mwaka ukiweka mzigo kwa mwaka mmoja ni 6%..... na hii ni kama offa imeanza mwez wa kwanza mwaka huu kwa Iyo brother weka 10M kwa miaka miwili utapata 11% kwa mwaka ila ukiweka mwaka mmoja utapata 6%..... mwisho wa mjadala wa mabank leten UTT Amis....[emoji1545]
ACCESS BANK 14% offer ukiweka kuanzia 100m kwa mwaka unavuta 12.6m net faida ukishatoa kodi bila kunyanyua kidole unalipia ada za watoto.Majibu wa jamaa wa TIB
Ukiweka mzigo kwa miaka miwili mfurulizo ni 11% kwa kila mwaka ukiweka mzigo kwa mwaka mmoja ni 6%..... na hii ni kama offa imeanza mwez wa kwanza mwaka huu kwa Iyo brother weka 10M kwa miaka miwili utapata 11% kwa mwaka ila ukiweka mwaka mmoja utapata 6%..... mwisho wa mjadala wa mabank leten UTT Amis....[emoji1545]
Mkuu anakuzingua huyo hiyo sio offer hizo ni rates zao watu wameweka tangu mwaka juzi wamemaliza mkataba wameweka tena. Offer yao iliku 12% wakaifuta kama miaka 5 nyuma sisi wengine tunaweka fixed kitambo. Ila mjadala uishe "KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKE"
Majibu wa jamaa wa TIB
Ukiweka mzigo kwa miaka miwili mfurulizo ni 11% kwa kila mwaka ukiweka mzigo kwa mwaka mmoja ni 6%..... na hii ni kama offa imeanza mwez wa kwanza mwaka huu kwa Iyo brother weka 10M kwa miaka miwili utapata 11% kwa mwaka ila ukiweka mwaka mmoja utapata 6%..... mwisho wa mjadala wa mabank leten UTT Amis....[emoji1545]
DCB offer imesitishwa wanatoa 12% tu kwa sasa kuanzia 100m ila Access wanatoa 14% kila la kheri mkuu" mapambano lazima yaendelee"Huyu mwamba ana shida sehemu! Ameambiwa ukweli lakini hapa anaanza kuweka uongo eti imeeanza mwaka huu. Mimi baada ya kuona biashara ni changamoto pesa nyingi nimeweka fixed bank tofauti tofauti na wanangu pia nimewafungulia fixed. Hii ya TCB nimemwekea mwanangu mwenye week 2 tu hivyo ataanza kuramba >450K kila mwezi. Nitacheki hii ya DCB ya 14%. Shukrani sana mkuu.
Mbona hajasema kuwa hataki kufanya biashara.Mwenzako hataki kufanya biashara anategemea aweke hela baadae atumie kwa matumizi mengine
DCB offer imesitishwa wanatoa 12% tu kwa sasa kuanzia 100m ila Access wanatoa 14% kila la kheri mkuu" mapambano lazima yaendelee"
Biashara zinachangamoto sana mpk unaona heri nusu shari niweke fixed nipate kidogo kuliko kuchoma ela usikilizie upepo unaendajeHuyu mwamba ana shida sehemu! Ameambiwa ukweli lakini hapa anaanza kuweka uongo eti imeeanza mwaka huu. Mimi baada ya kuona biashara ni changamoto pesa nyingi nimeweka fixed bank tofauti tofauti na wanangu pia nimewafungulia fixed. Hii ya TCB nimemwekea mwanangu mwenye week 2 tu hivyo ataanza kuramba >450K kila mwezi. Nitacheki hii ya DCB ya 14%. Shukrani sana mkuu.
Ndio mkuu hii hapa poster kwenye website yaoAccess wanatoa 14% ukiweka kuanzia 100M?
Watanzania wanataka hela zinazokuja kimaajabu yaani sio kwa kuzitengeneza kwa akili au mbinu za kijasiliamali. Mtu anataka aweke tu milioni 10 somewhere then awe anapokea hela kila mwisho wa mwezi. Na milioni kumi yake iwe available kuipata muda wowote.10M bodaboda 4 hapo.
Bodaboda 1 kwa siku 10,000. X 4= 40,000 kwa siku.
40,000 x 30 = 1,2000,000 kwa mwezi.
Hio 1,2000,000 unaweka vijana wa kuuza chipsi kuku kwa siku wakupe 20,000. Kwahio 20,000x30= 600,000.
Bodaboda 1,2000,000 + chipsi kuku 600,000 = 1,8000,000 kwa mwezi.
Unafungua mkahawa
Unafungua wakala wa vinywaji
Unafungua wakala wa mpesa
Unafungua
Unafungua
Unafungua
Usiweke hela bank wakupe faida ndogo tumia akili yako ndogo uweke hela kubwa. Usifanye kazi kwa kupata hela, Bali tumia hela ilete hela.
But ni muhimu kuwa na projection ya kibiashara ili uweze kujua unaelekea wapi.Hakuna biashara mzuri na inalipa kama ya kwenye makaratasi ha ha ha
Yan hapo ni very smooth, sasa nenda kafanye uone balaa lake
Haya saww na yale niliwahi kuandika humu ya wale mnaita ___speaker kwenye events huko, sijui kuku mmoja na mayai.10M bodaboda 4 hapo.
Bodaboda 1 kwa siku 10,000. X 4= 40,000 kwa siku.
40,000 x 30 = 1,2000,000 kwa mwezi.
Hio 1,2000,000 unaweka vijana wa kuuza chipsi kuku kwa siku wakupe 20,000. Kwahio 20,000x30= 600,000.
Bodaboda 1,2000,000 + chipsi kuku 600,000 = 1,8000,000 kwa mwezi.
Unafungua mkahawa
Unafungua wakala wa vinywaji
Unafungua wakala wa mpesa
Unafungua
Unafungua
Unafungua
Usiweke hela bank wakupe faida ndogo tumia akili yako ndogo uweke hela kubwa. Usifanye kazi kwa kupata hela, Bali tumia hela ilete hela.
Watanzania wanataka hela zinazokuja kimaajabu yaani sio kwa kuzitengeneza kwa akili au mbinu za kijasiliamali. Mtu anataka aweke tu milioni 10 somewhere then awe anapokea hela kila mwisho wa mwezi. Na milioni kumi yake iwe available kuipata muda wowote.
Kimsingi wabongo ni wavivu and they hate working or projects hawataki wanapenda kulipwa for nothing so they can spend without caution.
Umemshauri vema lakini mimi nimekuelewa.
10M bodaboda 4 hapo.
Bodaboda 1 kwa siku 10,000. X 4= 40,000 kwa siku.
40,000 x 30 = 1,2000,000 kwa mwezi.
Hio 1,2000,000 unaweka vijana wa kuuza chipsi kuku kwa siku wakupe 20,000. Kwahio 20,000x30= 600,000.
Bodaboda 1,2000,000 + chipsi kuku 600,000 = 1,8000,000 kwa mwezi.
Unafungua mkahawa
Unafungua wakala wa vinywaji
Unafungua wakala wa mpesa
Unafungua
Unafungua
Unafungua
Usiweke hela bank wakupe faida ndogo tumia akili yako ndogo uweke hela kubwa. Usifanye kazi kwa kupata hela, Bali tumia hela ilete hela.
Mchongo gani huo mkuu...Tupe Nondo.Kuna mtu nilimpa mchongo 2014 mtaji ilikuwa million 2 tu lakini mwaka ilikuwa tupate million 10 hadi 50. Jamaa alinicheka sana alinambia mwanangu mtoto wa kishua wewe unataka kufanya biashara ya kimaskini hio. Mwaka 2020 jamaa amekuja Oohh nilikudharau ile biashara ulosema kuna mwanangu kajenga na sasa ana Harrier anatutesa mtaani tu. Nilinyamaza kimya nikatabasamu na kuondoka
Watanzania wengi waoga kujaribu biashara
Kwahio nisisome chuo kisa wanachuo wengi wapo mitaani?Haya saww na yale niliwahi kuandika humu ya wale mnaita ___speaker kwenye events huko, sijui kuku mmoja na mayai.
But ingia field alafu uje na uhalisia ndo utajua kwa nini?.
Kitu kimoja nakijua binafsi watanzania wengi waoga wa kujaribu, wengi wao wana akili ya kuajiriwa na utajiri wa haraka.Watanzania wanataka hela zinazokuja kimaajabu yaani sio kwa kuzitengeneza kwa akili au mbinu za kijasiliamali. Mtu anataka aweke tu milioni 10 somewhere then awe anapokea hela kila mwisho wa mwezi. Na milioni kumi yake iwe available kuipata muda wowote.
Kimsingi wabongo ni wavivu and they hate working or projects hawataki wanapenda kulipwa for nothing so they can spend without caution.
Umemshauri vema lakini mimi nimekuelewa.