Nikiweka fixed deposit 10M naweza kulipwa kiasi gani na bank kila mwezi?

Nikiweka fixed deposit 10M naweza kulipwa kiasi gani na bank kila mwezi?

Yani uweke 10 million UTT unipe elfu 70 kwa mwezi? Hadi nimetukana hapa
Biashara ya bra na vyupi inaingiza hiyo pesa ndani ya wiki kwa mtaji wa laki mbili tu *****

Nina biashara ya vinywaji na generate pesa mingi sana na hata sikuanza na laki sita huu mwaka wa pili think think think
Mkuu biashara ya vinywaji mkuu Ni aina gan I wish nipate uzoefu wa hii biashara mkuu.
 
Kaka nimesema kwa mwaka ni 6% wewe umeweka kwa miaka miwil 11% sasa apo ambacho huelewi nn ? Ina mana kwa hao TCB kwa mwaka riba yao ni 5.5% mkuu...

Wewe kumbe unafuatilia sana mambo ya bank. CRBD niliweka million 100 wakati wameitangaza ile offer lakini nawaza kuvunja mkataba nihamie TCB kuvuna 11%.
Kuhamisha 100m kutoka crdb kwenda TCB itakugharimu kiasi gani?
 
Kuhamisha 100m kutoka crdb kwenda TCB itakugharimu kiasi gani?

Gharama za kutuma pesa kutoka bank moja kwenda nyingine ndani ya nchi kwa njia iitwayo TISS ni shillings 10,000/= tu.

Ila Kama swali lako ni juu ya gharama ya kuvunja mkataba kutoka CRDB ili niweke pesa hiyo TCB gharama ni 50% ya faida ambayo nimeshapata kutoka CRDB ndani ya kipindi chote. Kwa mfano nimeweka 100M kwa agreement ya miaka 3 ila imeshakaa mwaka mmoja na kwa kila mwezi nilikuwa napata 750,000/= yaani 9% ya 100M, basi wachukua hiyo 750,000x12 kisha waganye kwa mbili. Pesa itayopatikana ndo wata deduct kwenye Ila 100M. Itayobakia Ndiyo pesa nitapewa.
 
10M bodaboda 4 hapo.
Bodaboda 1 kwa siku 10,000. X 4= 40,000 kwa siku.
40,000 x 30 = 1,2000,000 kwa mwezi.

Hio 1,2000,000 unaweka vijana wa kuuza chipsi kuku kwa siku wakupe 20,000. Kwahio 20,000x30= 600,000.
Bodaboda 1,2000,000 + chipsi kuku 600,000 = 1,8000,000 kwa mwezi.

Unafungua mkahawa
Unafungua wakala wa vinywaji
Unafungua wakala wa mpesa
Unafungua
Unafungua
Unafungua

Usiweke hela bank wakupe faida ndogo tumia akili yako ndogo uweke hela kubwa. Usifanye kazi kwa kupata hela, Bali tumia hela ilete hela.
Haya tumekusikia motivation speaker,wewe unafanya boashara gan kwa sasa
 
Yani uweke 10 million UTT unipe elfu 70 kwa mwezi? Hadi nimetukana hapa
Biashara ya bra na vyupi inaingiza hiyo pesa ndani ya wiki kwa mtaji wa laki mbili tu *****

Nina biashara ya vinywaji na generate pesa mingi sana na hata sikuanza na laki sita huu mwaka wa pili think think think
Matajiri wenye pesa nyingi ndo wana-park pesa zao huko UTT ama ama bond za BOT. Sisi wengine tunaona hasara tu kuweka pesa huko
 
Mkuu upo?

Jamaa kaweka kweli fixed documents. 50,000,000 cash muamala wake [emoji116][emoji116][emoji116].

View attachment 2660490

Tunakusubiri na wewe uweke ili mpambano unoge.

Kwa mkwara na matusi uliyokuja nayo natumaini hutaikimbia hii mechi [emoji16][emoji16][emoji16]
Anafanya kuchungulia tuuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mkuu naomba maelezo mahsusi juu ya hili. Na je hao utt hawana utapeli?
Ni vizuri uende uwasikilize mwenyewe, hii taasisi ya serikali.

nilicho gundua humu ndani kuna watu wako nyuma sana kwenye masuala haya ya Fixed deposit account/fixed deposit reserve (fdr)
kuna kampuni zinapewa rates za 10% mpaka 11% ama 11.5 % tena kwa miezi mitatu tuu (3)
sasa kuna mshamba mmoja ata toka uko na povu kukataa hili!..
 
10M bodaboda 4 hapo.
Bodaboda 1 kwa siku 10,000. X 4= 40,000 kwa siku.
40,000 x 30 = 1,2000,000 kwa mwezi.

Hio 1,2000,000 unaweka vijana wa kuuza chipsi kuku kwa siku wakupe 20,000. Kwahio 20,000x30= 600,000.
Bodaboda 1,2000,000 + chipsi kuku 600,000 = 1,8000,000 kwa mwezi.

Unafungua mkahawa
Unafungua wakala wa vinywaji
Unafungua wakala wa mpesa
Unafungua
Unafungua
Unafungua

Usiweke hela bank wakupe faida ndogo tumia akili yako ndogo uweke hela kubwa. Usifanye kazi kwa kupata hela, Bali tumia hela ilete hela.
Hataki
Business is not for everyone
Unafikiri Kila mtu ana moyo WA kusubiri faida ya buku buku?
 
Biashara ya kwenye makaratasi huwa zinachekesha sana hivi we umeshawahi kumpa mtu pikipiki hata boda moja ukajaribu hiyo biashara ukaona uhalisia wake?
 
Haya tumekusikia motivation speaker,wewe unafanya boashara gan kwa sasa
Nauza genge la nyanya na tingo wa daladala pia fundi saidia position yangu ya kuchimba vyoo😂😂

Nimeomba niwe msaidizi wa mganga pia nasubiri majibu, vipi roho yako ipo safi🤣
 
Hataki
Business is not for everyone
Unafikiri Kila mtu ana moyo WA kusubiri faida ya buku buku?
Kuna mtu nilimpa mchongo 2014 mtaji ilikuwa million 2 tu lakini mwaka ilikuwa tupate million 10 hadi 50. Jamaa alinicheka sana alinambia mwanangu mtoto wa kishua wewe unataka kufanya biashara ya kimaskini hio. Mwaka 2020 jamaa amekuja Oohh nilikudharau ile biashara ulosema kuna mwanangu kajenga na sasa ana Harrier anatutesa mtaani tu. Nilinyamaza kimya nikatabasamu na kuondoka

Watanzania wengi waoga kujaribu biashara
 
Biashara ya kwenye makaratasi huwa zinachekesha sana hivi we umeshawahi kumpa mtu pikipiki hata boda moja ukajaribu hiyo biashara ukaona uhalisia wake?
Mkuu nimezaliwa kwenye biashara namiliki biashara kwenye familia yangu hakuna aliekuwa hafanyi biashara( biashara ni damu yetu) hapo nimetoa mfano sijasema awekeze kwenye bodaboda.
 
nilicho gundua humu ndani kuna watu wako nyuma sana kwenye masuala haya ya Fixed deposit account/fixed deposit reserve (fdr)
kuna kampuni zinapewa rates za 10% mpaka 11% ama 11.5 % tena kwa miezi mitatu tuu (3)
sasa kuna mshamba mmoja ata toka uko na povu kukataa hili!..
Mkuu tusaidie ni bank gani hizo zenye kutoa hizo rate za mpaka 11%
 
Matajiri wenye pesa nyingi ndo wana-park pesa zao huko UTT ama ama bond za BOT. Sisi wengine tunaona hasara tu kuweka pesa huko
Matajiri kama nani brother?
Mo huyu anayeniuzia sabuni ya mvhe cha Taifa kwa shilingi 250?
Au ya unga ya safi kwa shilingi 200?
Au bakhresa wa maandazi ya 100?

Mtu anayelipwa laki nane baada ya makato hafikishi 10 million kwa mwaka tena walimu ndo kabisaa hata posho hamna alafu ukabwage hela huko watu wa UTT wafanyie biashara?
 
Back
Top Bottom