Mkweche II
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 4,160
- 5,793
duh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji28][emoji28]Mwamba haeleweki. Alivyoingia kwa mikwara miksa na matusi nikajua Dangote kaingia sasa. Kamtisha jamaa aweke fixed account documents jamaa chap kashusha muamala wa 50 million cash (11% interest paid monthly for 2 yrs). Na yeye badala ajibu mapigo anaongea tu yaani....
JF bana! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Tena NMB wana product nyingine inatoa hadi 12% kwa mwaka.Jamaa anabisha wakati akipiga huduma kwa wateja bank zote wanampa rates zao za fixed deposit na ukiwa na mzigo mkubwa una negotiate nao kabisa rates.
Hahahaaa!! Maneno mengiiii weka na ww ushahidi wa mzigo mezani hapa.oh mara kiingeleza kingi kiingeleza bila pesa sw n makelele tu.
We papai kweli yani.We nawe tumia mpososo wako vizuri, we hiuo biashara ya vyupi hadi ushinde hapo, utt unaweka mzigo unasepa mwisho wa mwezi unakinga debe lako, mara waaa 70K
Wabongo wengi tunapenda kubisha kuliko kujifunza mwisho tunapishana na maarifa muhimu.Mwamba haeleweki. Alivyoingia kwa mikwara miksa na matusi nikajua Dangote kaingia sasa. Kamtisha jamaa aweke fixed account documents jamaa chap kashusha muamala wa 50 million cash (11% interest paid monthly for 2 yrs). Na yeye badala ajibu mapigo anaongea tu yaani....
JF bana! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kokote uliko kanunue bra za mtumba moja utapata kwa 700 - 1000 wakiwa wanafungua mzigo hii ni kwa mikoaniMzeya nielekeze wapi naweza pata mzigo wa chupi na bra na mie nianze hiyo biashara nina mtaji wa laki sita
Mkuu unaweza ukawa umeweka kwa 5% au 6% lakini hivi vitu kama biashara nyingine lazima ufanye research ili upate value 4 money, Sisi wengine hatuwezi kununua kitu eg. TV duka la kwanza tu mpk tuzunguke tuone nafuu wapi japo lile la kwanza ndio linaweza kuwa nafuu. Nina uhakika akienda TCB na bank nyingine ataleta mrejesho hapa. Kifupi asiwe mvivu aingie kila website ya bank achukue namba apige kisha hawaulize hana haja ya kuacha shughuli zake na kwenda kwenye branch direct.[emoji28]
Kwa kifupi aliyetaka ushaur keshasikia TCB wanatoa 11% aende alete mrejesho
Mi Nipo safarin ningekua home ningeleta mrejesho wa slip ya bank sms kwenye simu sina...
Paid monthly, per annumHiii match ndogo sana kwangu nitakuwekea yangu nipe muda
Wana matrix zao ambazo zinaonyesha kiasi versus rate. Watu waliofanya kwenye mabenki wanaweza kusaidia kwenye hili.Mzigo mkubwa kiasi gani ndio hapo sasa isije ikawa unazungumzia million 200
Biashara zote zingeendeshwa kama biashara ya bodaboda aisee ingekuwa ni kituko 😃 huu mfumo sijui ulitokea na wapiKakaa umeongea kwa sautii kalii mnooo na ubayaa Hiyo piki piki mwisho wa mkataba anachukua boda mwenyeweee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mmh hizi biasharaa ngumu sana aiseee...
Yah ukikalia chombo mmiliki hela utaziona otherwise ni kutupa ElaWatu hua hawaelewi au labda aendeshe mwenyewe
Hiyo hela ni ndogo sana kwa fixed deposit. Sijui una umri gani, kama ni kijana kuweka fixed deposit ni uvivu wa kufikiri. Changamsha akili fanya biashara huo ni mtaji tosha.Wataalamu wa bank, je naweza kuweka deposit kiasi cha hela kama 10m halafu kila mwezi bank inanilipa riba? Na je watanilipa kiasi gani kila mwezi? Wakati huo hela yangu ipo tu bank?
Mkuu interest rate inapigwa per annum ila period ni 2 years hivi vitu mbona rahisi tu.
Crdb hiyo ya 9% wameishaifuta.
Hahahaaa!! Maneno mengiiii weka na ww ushahidi wa mzigo mezani hapa.oh mara kiingeleza kingi kiingeleza bila pesa sw n makelele tu.
Nenda TCB zamani TPB bank, wanatoa 11% annually. Yaani 0.9166 kwa mwezi. Kwa hiyo 10M utapata 91,666 kwa mwezi.
Chagua mwenyewe.