Nikiweka fixed deposit 10M naweza kulipwa kiasi gani na bank kila mwezi?

Nikiweka fixed deposit 10M naweza kulipwa kiasi gani na bank kila mwezi?

Kuna Masikini,Tajiri na maisha ya kati

Masikini:- Akipata hela matumizi tu hela haikai.

Maisha ya kati:- Hawa mara nyingi huishi maisha ya uigizaji lakini waoga wa kujaribu kufikia utajiri. Na waoga kurudi kwenye umasikini

Tajiri:- Akipata hela anataka imzalishie hela, hutumia njia ya kuwekeza ili azidi kuwa tajiri.

Huo niliotoa ni mfano tu sijasema anunue bodaboda au nimeandika anunue bodaboda??. Kuna njia nyingi sana tu za kujitoa kimaisha kama mamantilie ana dada saidia unajua kama anapata faida kwa uwekezaji wa dada saidia. Mfano Bakhresa ana wauza ice cream,mikate,juice na maji lakini ana viwanda, boti na apartment.
upo kundi gani hapo mkuu
 
Matajiri kama nani brother?
Mo huyu anayeniuzia sabuni ya mvhe cha Taifa kwa shilingi 250?
Au ya unga ya safi kwa shilingi 200?
Au bakhresa wa maandazi ya 100?

Mtu anayelipwa laki nane baada ya makato hafikishi 10 million kwa mwaka tena walimu ndo kabisaa hata posho hamna alafu ukabwage hela huko watu wa UTT wafanyie biashara?
kuuza sabuni haimaanishi hawana hizo bond
 
kuuza sabuni haimaanishi hawana hizo bond
Soma na elewa "ANATAKA FAIDA" sasa elfu 70 UTT kwa mwezi mzima hiyo biashara ya pipi?
Hao UTT wataingiza kiasi gani kwa hiyo pesa yake au unafikiri wanalaza na wenyewe?
 
kuuza sabuni haimaanishi hawana hizo bond
Kuna kitu inaitwa Kausha damu microfinance za mitaani hizi wakikupa 400 wanakata 15 wanakupa 385 na riba ya 18% jumla utawarejeshea 472.

Ukikopa 500 wanakupa 485 utarejesha 590k huyu hawezi kuwa fala kama huyu anayeenda kuwekewa hela
 
Kuweka BOT kima cha chini sh ngapi???wanapokea mtu personally ????
Watu binafsi wanapokea ndio na kima cha chini inategemeana na mnada wa hisa zao kwa wakti huo. Ila hata 500k unaweza kuweka ingawa return itakuwa ndogo sana labda uwe unafanya kama uwekezaji wa muda mrefu sana.

Kila ijumaa wanatoa seminar kwa wanaohitaji kufahamu mambo ya uwekezaji kwenye hati fungani zao,kawasikilize mkuu.
 
Mkuu unaweza ukawa umeweka kwa 5% au 6% lakini hivi vitu kama biashara nyingine lazima ufanye research ili upate value 4 money, Sisi wengine hatuwezi kununua kitu eg. TV duka la kwanza tu mpk tuzunguke tuone nafuu wapi japo lile la kwanza ndio linaweza kuwa nafuu. Nina uhakika akienda TCB na bank nyingine ataleta mrejesho hapa. Kifupi asiwe mvivu aingie kila website ya bank achukue namba apige kisha hawaulize hana haja ya kuacha shughuli zake na kwenda kwenye branch direct.
For the sake of knowledge between UTT liquid fund and TCB. what is the best to go with ?
 
Kuna mtu nilimpa mchongo 2014 mtaji ilikuwa million 2 tu lakini mwaka ilikuwa tupate million 10 hadi 50. Jamaa alinicheka sana alinambia mwanangu mtoto wa kishua wewe unataka kufanya biashara ya kimaskini hio. Mwaka 2020 jamaa amekuja Oohh nilikudharau ile biashara ulosema kuna mwanangu kajenga na sasa ana Harrier anatutesa mtaani tu. Nilinyamaza kimya nikatabasamu na kuondoka

Watanzania wengi waoga kujaribu biashara
Sana....
Yaani wanataka Ile biashara paah milionea....kusubiri wengi hawataki,kuharibu hawataki na wala kujisumbua hawataki...
 
Mwamba haeleweki. Alivyoingia kwa mikwara miksa na matusi nikajua Dangote kaingia sasa. Kamtisha jamaa aweke fixed account documents jamaa chap kashusha muamala wa 50 million cash (11% interest paid monthly for 2 yrs). Na yeye badala ajibu mapigo anaongea tu yaani....

JF bana! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kama umewahi pigana utaelewa kilichotokea.
 
10M bodaboda 4 hapo.
Bodaboda 1 kwa siku 10,000. X 4= 40,000 kwa siku.
40,000 x 30 = 1,2000,000 kwa mwezi.

Hio 1,2000,000 unaweka vijana wa kuuza chipsi kuku kwa siku wakupe 20,000. Kwahio 20,000x30= 600,000.
Bodaboda 1,2000,000 + chipsi kuku 600,000 = 1,8000,000 kwa mwezi.

Unafungua mkahawa
Unafungua wakala wa vinywaji
Unafungua wakala wa mpesa
Unafungua
Unafungua
Unafungua

Usiweke hela bank wakupe faida ndogo tumia akili yako ndogo uweke hela kubwa. Usifanye kazi kwa kupata hela, Bali tumia hela ilete hela.
Boss hesabu zako mbona kama za kilimo cha matikikiti😀😀iyo financial plan ,sio poa ni ya kupiga faida tu
 
Majibu wa jamaa wa TIB

Ukiweka mzigo kwa miaka miwili mfurulizo ni 11% kwa kila mwaka ukiweka mzigo kwa mwaka mmoja ni 6%..... na hii ni kama offa imeanza mwez wa kwanza mwaka huu kwa Iyo brother weka 10M kwa miaka miwili utapata 11% kwa mwaka ila ukiweka mwaka mmoja utapata 6%..... mwisho wa mjadala wa mabank leten UTT Amis....[emoji1545]
 
Majibu wa jamaa wa TIB

Ukiweka mzigo kwa miaka miwili mfurulizo ni 11% kwa kila mwaka ukiweka mzigo kwa mwaka mmoja ni 6%..... na hii ni kama offa imeanza mwez wa kwanza mwaka huu kwa Iyo brother weka 10M kwa miaka miwili utapata 11% kwa mwaka ila ukiweka mwaka mmoja utapata 6%..... mwisho wa mjadala wa mabank leten UTT Amis....[emoji1545]
Mkuu anakuzingua huyo hiyo sio offer hizo ni rates zao watu wameweka tangu mwaka juzi wamemaliza mkataba wameweka tena. Offer yao iliku 12% wakaifuta kama miaka 5 nyuma sisi wengine tunaweka fixed kitambo. Ila mjadala uishe "KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKE"
 
Back
Top Bottom