Nikiweka fixed deposit 10M naweza kulipwa kiasi gani na bank kila mwezi?

Biashara Sio kwa ajili ya Kila mtu.
Biashara uendana na nyota
 
🤣😅🤣😅 Wabongo bhaaaana... Mnapenda kurahisisha maisha ya utafutaji kwa kutozingatia kanuni uhalisia na mazingira...
 
Punguza ujuaji usio na faida... Soma uelewe
 
Hesabu za haraka boda boda moja kwa siku faida 3055 kwa mwezi 91700 biashara kichaa
 
Milion 10 kwa return ya 70k kwa mwezi dah, noma
 
Mwenye hela hana huo mpango yeye anataka kujua Benk gani ina riba nzuri …
 
Nafikiri jina lako ni tofauti na huyo mtu mwingine? Yeye hawezi uza bra na hataki stress
 
Majamaa kawa ninyi tunawaita motivational speaker yani mnalipwa kushawishi watu vitu visivyo na uhalisia kabisaaaaaaa😅😅
 
Kama hujui kitu jaribu kuulizia mzee. Kupinga kitu bila kufahamu ni matumizi mabaya ya akili na hekima ambavyo tumepewa na Mungu bure.

We mpumbav mi naongea nlichoweka sio wewe msikia story niambie wewe bank gan inatoa riba zaid ya 6% ? Mimi nitume fixed documents umu na wewe utume unaongea lugha za kifala wakat Huna experience mzee
 
We mpumbav mi naongea nlichoweka sio wewe msikia story niambie wewe bank gan inatoa riba zaid ya 6% ? Mimi nitume fixed documents umu na wewe utume unaongea lugha za kifala wakat Huna experience mzee

Mtu mwenyewe hekima hatoi matusi kinywani mwake bali asiye na utashi komavu. Haya soma hapa chini kisha urudi tena
 
We mpumbav mi naongea nlichoweka sio wewe msikia story niambie wewe bank gan inatoa riba zaid ya 6% ? Mimi nitume fixed documents umu na wewe utume unaongea lugha za kifala wakat Huna experience mzee

Jaribu kufuatilia ndugu yangu kama unaishi sehemu inayostahili mtu kuishi basi fika bank ya TCB uulizie juu ya hili kisha urudi hapa na matusi yako. Kwa taarifa yako hata CRDB walikuwa na FDA inayotoa riba ya 9% inaitwa Mzigo Flex. Sasa wewe unashupaza shingo na kutoa matusi pasipo kujua mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…