LA7
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 655
- 2,369
yaani kiujumla ni hivyo tu kuanzia mwezi wa kwanza ni makadirio ya kupata mtoto wa pili mungu akipenda lakini mpaka sasa bado sijasevu hata 100 ndani leo ndo nimepunguza miezi miwili ya kudaiwa kodi toka miezi minne.
Eeeh Mwenyezi Mungu tupunguzie hii mizigo na changamoto tunazozipitia wengi wetu tunaotegemea tutoke kila siku ndo tupeleke tonge mdomoni
AMEN.
Eeeh Mwenyezi Mungu tupunguzie hii mizigo na changamoto tunazozipitia wengi wetu tunaotegemea tutoke kila siku ndo tupeleke tonge mdomoni
AMEN.