To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
HakunaNini kitampata mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HakunaNini kitampata mkuu?
Imani, shukrani na tumaini ni muhimu sana wakati huu; si wakati wa kulalama! Familia nyingi za kitanzania zimepitia mazingira haya, pamoja na kwamba mwanzo ulionekana kuwa mgumu ila mwisho ulikuwa mzuri sana....Ni maombi yangu Mungu akupe kibali Cha mpenyo wa kifedha kipindi hiki ambacho unasubiri baraka ya watoto mapacha.yaani kiujumla ni hivyo tu kuanzia mwezi wa kwanza ni makadirio ya kupata mtoto wa pili mungu akipenda lakini mpaka sasa bado sijasevu hata 100 ndani leo ndo nimepunguza miezi miwili ya kudaiwa kodi toka miezi minne.
Eeeh Mwenyezi Mungu tupunguzie hii mizigo na changamoto tunazozipitia wengi wetu tunaotegemea tutoke kila siku ndo tupeleke tonge mdomoni
AMEN.