n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Mungu unamsingizia bure tuEeeh Mwenyezi Mungu tupunguzie hii mizigo na changamoto tunazozipitia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu unamsingizia bure tuEeeh Mwenyezi Mungu tupunguzie hii mizigo na changamoto tunazozipitia
Maneno kuntuu 😂😂😂😂akipuuza shauri yake
Pole sana, angalia usijekuwa mteja wa Mwamposa.kwako inaweza isiwe shida mkuu kama watu wanavojipaga matumaini kuwa deni halifungi
I wish kuna kitu nkufundishe cha kufanya usiku wa leo sema ndo mvivu wa kutypeyaani kiujumla ni hivyo tu kuanzia mwezi wa kwanza ni makadirio ya kupata mtoto wa pili mungu akipenda lakini mpaka sasa bado sijasevu hata 100 ndani leo ndo nimepunguza miezi miwili ya kudaiwa kodi toka miezi minne.
Eeeh Mwenyezi Mungu tupunguzie hii mizigo na changamoto tunazozipitia wengi wetu tunaotegemea tutoke kila siku ndo tupeleke tonge mdomoni
AMEN.
Kama unaona huna uwezo wa kumtunza mtoto, unamleta dunianinkwa kutegemea nini? Nani amtunze?yaani kiujumla ni hivyo tu kuanzia mwezi wa kwanza ni makadirio ya kupata mtoto wa pili mungu akipenda lakini mpaka sasa bado sijasevu hata 100 ndani leo ndo nimepunguza miezi miwili ya kudaiwa kodi toka miezi minne.
Eeeh Mwenyezi Mungu tupunguzie hii mizigo na changamoto tunazozipitia wengi wetu tunaotegemea tutoke kila siku ndo tupeleke tonge mdomoni
AMEN.
Acha kabisaNa muda wa kulala ndiyo muda wa mawazo.
Ukisema mpaka uwe na kitu ndio uoe au uzae pia unaweza kupoteza muda sana...ukachelewaa halafu ukakuta maisha ndio yaleyale at 25 go to 30, then 35 to 40 agesTunapokosea ndiyo hapo
1.Huna kitu unaoa
2.Huna kitu unazaa
Hii dunia ukiiletea masihara lazima ikuumbue
Kwa Tanzania watu wengi hawana guarantee ya kuwa na maisha bora baada ya muda flani, so huwezi kuacha kuoa au kuzaa watoto kwa wakati sahihi kisa hujajenga au humiliki GXkuna wakati mtu anaamua kujilipua tu akipata wa kusikilizana nae, mana siku zinaenda na hakuna ramani inayoeleweka
Akikuita bibi na unauwezo wa kumpa furaha ya maisha shida nini?Ukisema mpaka uwe na kitu ndio uoe au uzae pia unaweza kupoteza muda sana...ukachelewaa halafu ukakuta maisha ndio yaleyale
Utakuja kujiuliza kuwa ulikuwa unasubiri nini then ukakosa jibu
Saa hizo mtoto anakuita Babu au Bibi [emoji1787]
Wewe umejuaje kama alifanya maamuzi ya kuzaa akiwa hana kitu. Unaweza kukuta alifanya maamuzi akiwa na kipato then matokeo ya uamuzi wake yamemkuta kafilisika hana kitu.Kwanini uzaa ilihali huna kitu unataka kuendeleza uzao wa masikini?
Safi sanaWatoto ni baraka, lakini lazima tuwaandalie mazingira mazuri ya kuwapokea (matunzo)