Yani vitoto vichanga huko Gaza kila siku vinapoteza maisha nyie mpo tu mnakomaa kuishi. It's not fair at all ndo maana siku hizi oxygen haitoshiyaani kiujumla ni hivo tu kuanzia mwezi wa kwanza ni makadirio ya kupata mtoto wa pili mungu akipenda lakini mpaka sasa bado sijasevu hata 100 ndani leo ndo nimepunguza miezi miwili ya kudaiwa kodi toka miezi minne,
Eee mwenyezi mungu tupunguzie hii mizigo na changamoto tunazozipitia wengi wetu tunaotegemea tutoke kila siku ndo tupeleke tonge mdomoni
AMEN.
Kwanini uzaa ilihali huna kitu unataka kuendeleza uzao wa masikini?yaani kiujumla ni hivo tu kuanzia mwezi wa kwanza ni makadirio ya kupata mtoto wa pili mungu akipenda lakini mpaka sasa bado sijasevu hata 100 ndani leo ndo nimepunguza miezi miwili ya kudaiwa kodi toka miezi minne,
Eee mwenyezi mungu tupunguzie hii mizigo na changamoto tunazozipitia wengi wetu tunaotegemea tutoke kila siku ndo tupeleke tonge mdomoni
AMEN.
kuna wakati mtu anaamua kujilipua tu akipata wa kusikilizana nae, mana siku zinaenda na hakuna ramani inayoelewekaTunapokosea ndiyo hapo
1.Huna kitu unaoa
2.Huna kitu unazaa
Hii dunia ukiiletea masihara lazima ikuumbue
Bas kusiwepo na kupiga yowe mkuu,maisha siyo majaribio....utaishia kuwatesa mke na watotokuna wakati mtu anaamua kujilipua tu akipata wa kusikilizana nae, mana siku zinaenda na hakuna ramani inayoeleweka
Aisee auntie wa wanang, hizi comments zako mbili zinaweza kumchekesha maiti aisee ππNa muda wa kulala ndiyo muda wa mawazo.
Ukiona chozi la mtu mzima, ujue kuna jambo limemuelemea ππBas kusiwepo na kupiga yowe mkuu,maisha siyo majaribio....utaishia kuwatesa mke na watoto
Mkuu kikaze kuna mtu akikueleza matatizo yake asee utamuonea huruma.yaani kiujumla ni hivyo tu kuanzia mwezi wa kwanza ni makadirio ya kupata mtoto wa pili mungu akipenda lakini mpaka sasa bado sijasevu hata 100 ndani leo ndo nimepunguza miezi miwili ya kudaiwa kodi toka miezi minne.
Eeeh Mwenyezi Mungu tupunguzie hii mizigo na changamoto tunazozipitia wengi wetu tunaotegemea tutoke kila siku ndo tupeleke tonge mdomoni
AMEN.
Mkatie Bima ya mama mjamzito ni elfu 40. Itaokoa gharama nyingi sanayaani kiujumla ni hivyo tu kuanzia mwezi wa kwanza ni makadirio ya kupata mtoto wa pili mungu akipenda lakini mpaka sasa bado sijasevu hata 100 ndani leo ndo nimepunguza miezi miwili ya kudaiwa kodi toka miezi minne. Eeeh Mwenyezi Mungu tupunguzie hii mizigo na changamoto tunazozipitia wengi wetu tunaotegemea tutoke kila siku ndo tupeleke tonge mdomoni AMEN.