Nikiweza kutoboa hadi mwezi wa pili 2024 basi itakuwa ni kwa neema ya Mungu

nipe mtoto wa kwanza huyo nikusaidie kulea.

Niko Mwanza
 
Pole mkuu

Miye sina hela ya gesi,kuna harusi ya mdogo wangu inabidi nikohoe kama 500k,bado madeni kama 2,500,000/= yananisubiria

Nina pakulala,uhakika wa kula upo

Sijui kama nitatoboa

Ila napambana
 
Usikate tamaa na rehma za mwenyezi Mungu maana zingine hata kuzifikiria huwezi.... Kwakua umemtaja Mungu kwenye bandiko lako basi endelea kumtumainia ukiendelea na shughuri zako za kila siku..
Kwa Mwenyezi Mungu Hayo Ni Mepesi.
 
Upo vizuri mbona, badilisha tu mbinu na mikakati ya utafutaji kwa timing utascore vizuri tu.

Kuna vitu vikitokea acha kuwaza kufeli maana vitakutikisa hadi akili yako ikubali kukaa sawa.

Swala la mtoto ni swala ambalo litakata tu umakini na mahesabu ila sio kubwa kama watu wanavyolikuza. Kushindwa kumudu mtoto ni matokeo ya execution mbovu ya mipango na timing pia uzembe wa kusimamia wajibu wa uzazi na ulezi plus kutegeana.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Akisha zaliwa hutakosa cha kumpatia.
Mwenyewe utashangaa milango itakavyo funguka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…