Nikki Mbishi Amvaa Salama Jabir

Nikki Mbishi Amvaa Salama Jabir

Huyu ndugu Mbishi mbona ana platform kubwa tu ya kuongea anachotaka na watu wakasikia, au lazima ahojiwe na Salama? Halafu mnasema yuko Real. Kuwaletea watu kwere everyday ndio kuwa real?
 
Nikki Mbishi hana lolote ni lofa tu. Japo kiukweli nazikubali sana nyimbo zake.

Mtu gani yuko kwenye beef karibia na kila msanii na mtangazaji.Wakazi,Ney wa Mitego,P the Mc, Mwana FA, Adam Mchomvu na sasa hivi anatafuta ugomvi na Salama Jabir.Ukiona unagombana na kila mtu basi ujue wewe ndio una matatizo.

Yeye kama mwanaume apambane kiume aache kulialia kutafuta huruma.
 
Kipindi ni chake halafu mnataka alete watu hasiopatana nao halafu aongee nao nini, hii ni biashara na sio charity group.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa anakionesha kwenye TV yake pia!? Sidhani kama ukimiliki TV basi iwe inaonesha mambo yako tu. Mfano Azam media iwe kuanzia mwanzo mpaka mwisho ni matangazo tu ya Bakhressa na bidhaa zake tu, hiyo atakuwa anaangalia mwenyewe au?
 
Hao asiopatana nao kumbuka wana mashabiki wengi pia ambao wangependa kuwasikia.,.. that’s not a professional at all , kazi has nothing to do with personal matters ...
Hicho kitu hata mimi nilimshauri, aangalie na careers zingine na watu wengine wasio maarufu lakini wana vipaji flani kifupi aende na upepo, bila hivyo kuhoji watu wale wale kila siku kunapunguza mvuto kwa watazamaji,
Aangalie Ellen DeGeneres anavyofanya.
 
Huwa anakionesha kwenye TV yake pia!? Sidhani kama ukimiliki TV basi iwe inaonesha mambo yako tu. Mfano Azam media iwe kuanzia mwanzo mpaka mwisho ni matangazo tu ya Bakhressa na bidhaa zake tu, hiyo atakuwa anaangalia mwenyewe au?
Kipindi ni cha kwake, airtime anailipia yeye, kwahiyo yeye ndiye anajuakipi kinafaa ili aendelee kuingiza mpunga wa kurusha kipindi chake. Yanini apangiwe la kufanya?
 
Kipindi ni cha kwake, airtime anailipia yeye, kwahiyo yeye ndiye anajuakipi kinafaa ili aendelee kuingiza mpunga wa kurusha kipindi chake. Yanini apangiwe la kufanya?
Kama kipindi ni cha kwake, mbona asijioneshe yeye mwanzo mwisho!? Lazima utegemee watu katika baadhi ya vitu . Ndio maana kuna watu anawaalika kuwahoji otherwise ajielezee yeye mwenyewe. Mfano, ikatokea kakosa mtu wa kualika, hiko kipindi kitaenda ?
 
Kipindi ni cha kwake, anaamua kuonyesha anaowataka yeye, hata akiamua kujionyesha mwenyewe poa tu. Ila kwa sasa kaamuakuonyesha hao anaowapenda na huenda anaona ndivyo inafaa na mafanikio anayaona. Hivi unajua kwanini siasa za siasa kilifail?
 
Hicho kitu hata mimi nilimshauri, aangalie na careers zingine na watu wengine wasio maarufu lakini wana vipaji flani kifupi aende na upepo, bila hivyo kuhoji watu wale wale kila siku kunapunguza mvuto kwa watazamaji,
Aangalie Ellen DeGeneres anavyofanya.

Halafu huwa namfananisha na Ellen pia, salama she is so smart , yule hakutakiwa kuwa bongo sema basi tu , Tatizo ana deal sana na only Top celebrities ambao nj mashoga zake, ila kana IQ kubwa sana na kana communication skills nzuri , Sijui kalisomag wapi , kwa hapa bongo sijaona wa calibre yake
 
Kipindi cha Salama wanahojiwa watu maarufu na watakaoleta impact kibiashara maana kipindi kina matangazo na pia kinaruka live kwenye all platforms ikiwepo apple , spotify , audiomack n.k
Sasa mwenye kipindi anahoji watu ambao yeye anaona wana impact kwenye biashara yake na lazima anakuwa ametarget specific audience,
Sasa huyo Niki Mbishi inabidi ahojiwe na shilawadu, sizi kitaa na refresh kwasababu contents zake zinatosha huko asilazimishe kuhojiwa na Salama
 
Kwani Salama Jabir anatangaza Televisheni ya Taifa useme anatumia hela za walipa kodi na hivyo anatakiwa kuwapa wasanii wote nafasi sawa?

Au anaendesha kipindi cha kampuni binafsi, yenye uhuru wa kuamua nani imkubali na nani isimkubali katika vipindi vyake?
 
Back
Top Bottom