Squidward
JF-Expert Member
- Jul 21, 2014
- 7,828
- 9,546
Nikki Mbishi ana beef na Salama don't like Nikki Mbishi. Dogo anajikuta mjuaji Sana..
Yule jamaa anajiona sana nawaza angekuwa muasisi wa Hip Hop mbona rappers wangekoma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikki Mbishi ana beef na Salama don't like Nikki Mbishi. Dogo anajikuta mjuaji Sana..
Huwa anakionesha kwenye TV yake pia!? Sidhani kama ukimiliki TV basi iwe inaonesha mambo yako tu. Mfano Azam media iwe kuanzia mwanzo mpaka mwisho ni matangazo tu ya Bakhressa na bidhaa zake tu, hiyo atakuwa anaangalia mwenyewe au?Kipindi ni chake halafu mnataka alete watu hasiopatana nao halafu aongee nao nini, hii ni biashara na sio charity group.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho kitu hata mimi nilimshauri, aangalie na careers zingine na watu wengine wasio maarufu lakini wana vipaji flani kifupi aende na upepo, bila hivyo kuhoji watu wale wale kila siku kunapunguza mvuto kwa watazamaji,Hao asiopatana nao kumbuka wana mashabiki wengi pia ambao wangependa kuwasikia.,.. that’s not a professional at all , kazi has nothing to do with personal matters ...
Kipindi ni cha kwake, airtime anailipia yeye, kwahiyo yeye ndiye anajuakipi kinafaa ili aendelee kuingiza mpunga wa kurusha kipindi chake. Yanini apangiwe la kufanya?Huwa anakionesha kwenye TV yake pia!? Sidhani kama ukimiliki TV basi iwe inaonesha mambo yako tu. Mfano Azam media iwe kuanzia mwanzo mpaka mwisho ni matangazo tu ya Bakhressa na bidhaa zake tu, hiyo atakuwa anaangalia mwenyewe au?
Kama kipindi ni cha kwake, mbona asijioneshe yeye mwanzo mwisho!? Lazima utegemee watu katika baadhi ya vitu . Ndio maana kuna watu anawaalika kuwahoji otherwise ajielezee yeye mwenyewe. Mfano, ikatokea kakosa mtu wa kualika, hiko kipindi kitaenda ?Kipindi ni cha kwake, airtime anailipia yeye, kwahiyo yeye ndiye anajuakipi kinafaa ili aendelee kuingiza mpunga wa kurusha kipindi chake. Yanini apangiwe la kufanya?
Kipindi ni cha kwake, anaamua kuonyesha anaowataka yeye, hata akiamua kujionyesha mwenyewe poa tu. Ila kwa sasa kaamuakuonyesha hao anaowapenda na huenda anaona ndivyo inafaa na mafanikio anayaona. Hivi unajua kwanini siasa za siasa kilifail?Kama kipindi ni cha kwake, mbona asijioneshe yeye mwanzo mwisho!? Lazima utegemee watu katika baadhi ya vitu . Ndio maana kuna watu anawaalika kuwahoji otherwise ajielezee yeye mwenyewe. Mfano, ikatokea kakosa mtu wa kualika, hiko kipindi kitaenda ?
Hicho kitu hata mimi nilimshauri, aangalie na careers zingine na watu wengine wasio maarufu lakini wana vipaji flani kifupi aende na upepo, bila hivyo kuhoji watu wale wale kila siku kunapunguza mvuto kwa watazamaji,
Aangalie Ellen DeGeneres anavyofanya.
OkWe nae uwe unaelewa basi lugha ya picha
[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa hapo kamvaa wapi
Hivi umemuelewa[emoji23][emoji23][emoji23]
Kipindi ni chake halafu mnataka alete watu hasiopatana nao halafu aongee nao nini, hii ni biashara na sio charity group.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vip mzee,mliemda kumuimbia mashairi?Salama ni wa kumzoea tu,tuliwahi kukutana nae kwenye BSS tunajua timbwili lake.
yani mchujo unapewa neno unaenda kulala ukimkumbuka.