Nikki Mbishi was underrated kumlinganisha na Nikki wa Pili

Nikki Mbishi was underrated kumlinganisha na Nikki wa Pili

Pure_sapiens

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2016
Posts
2,228
Reaction score
2,064
Habari za weekend.

Awali ya yote natambua uwezo mkubwa wa baadhi ya members wa jf linapokuja suala zima la music hasa muziki wa kufoka foka(hiphop).Nimekuwa nafuatilia kwa muda sasa katika hili jukwaa la burudani kwaa namna gani wadau wanavyochambua wasanii wa hiphop kuanzia wa hapa nyumbani hadi kule mambele.Wadau wapo ambao wanajuwa hiphop MCs ni mtu wa aina gani.

Katika nyakati fulani kulitokea ubishani ambao si wa kawaida katika muziki wa hiphop hapa Bongo,kwa wakati huo vijana wawili ambao walikuwa wapo hot by that time walikuwa wanalinganishwa,pambanishwa katika uandishi,bars,metaphor na flow kwa ujumla.Vijana hao ni nikki mbishi na nikki wa pili.

Kwa siku ya jana jumamosi ni siku ambayo niliitumia kusikiliza kazi za hawa wawili yaani ngoma kwa ngoma kuanzia ngoma zao za mwanzo mwanzo hadi za hivi karibuni,kusema ile ukweli wale waliokuwa wana mlinganisha nikki mbishi na nikki wa pili naomba wamuombe radhi mbishi.Jamaa ni mwandishi bora kwa wakati wote ana flow vizuri sana.

Kusema ile ukweli hawakumtendea haki mbishi na alidharauliwa sana.

Karibuni tuseme ukweli kabla hajatangulia mbele za haki.
 
Huyo mbishi ni mjuaji sana yeye hajawahi kukosea na huwa anaonewa yeye tu. .
Anafanya biashara ya muziki ya kizamani
Eti anauza album yake kupitia whatsapp..!

Anakwambia mtafute kisha atakutumia..!
Mziki ndo Biashara yake so amna Alichokosea wengi sana Albam ikiwa bado kibindoni wanafanya ivo anapiga pay kwa mda then ndo anaachia, Hata kitaaolojia wana tulinunua whatsap kwanza Badae mwamba ndo akaja kuachia kwenye platform .Bado Baba Malcom anaupiga mwingi sana sio wa kulinganiaha na zile rap za weusi hata ukiwa group Bado hawafui dafu . Sema kwa comment za vijana wa trap hawawezi kuzielewa hizi ngum..
 
Uyo mbishi ni takataka tu ..ngoma zake sina impact gani kwenye jamii?

Nikk wa Pili anatoa ngoma zinazogusa jamii moja kwa moja mfano, Baba Swelehe, Kiujamaa, Good Boy, sasa uyo mbishi yeye Mara Babu Talent, nataka kutoka, play boy, na rubbish zingine ambazo ni kama hazina uhalisia wowote na maisha ya mtaa. Kiufupi mbishi 75% ya ngoma zake ni kama ana diss media, na wakali wote wa media na entertainment kwa ujumla. Sasa nani atambeba wakati kila anamuona mbaya?
 
[emoji23][emoji23] binadamu tume tofautiana sana
 
Back
Top Bottom