Niko mkoa wenye barabara za vumbi, kwa bajeti ya Milioni 13 gari ipi nzuri kwa kutembelea kifamilia?

Hao wanaokushauri Rav 4 wanataka ununue gari ya 1997.

Mkoani wapi barabara mbaya kiasi gani mfano?

Maana gari kama IST, naona ipo juu fresh na mtainjoi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…