Niko mkoa wenye barabara za vumbi, kwa bajeti ya Milioni 13 gari ipi nzuri kwa kutembelea kifamilia?

Niko mkoa wenye barabara za vumbi, kwa bajeti ya Milioni 13 gari ipi nzuri kwa kutembelea kifamilia?

Ushauri wangu: kama unataka SUV kwa bei rahisi basi kimbilia RAV4, na kama unataka kuagiza Japan mwenywe chukua Rav4 zile za zamani ndo SUV nzuri kwako...lakini kama unanunua hapa hapa bongo mkononi kwa mtu basi chukua Rav4 kilitime unapata na hata Miss Tanzania pia unapata japo inaweza kuwa namba B au A...ukitaka namba D ongeza ufike angalau 15M... (Japokama hizo plate namba hazina uhusiano na ubora au upya wa gari kiuhalisia). Tofauti na Rav 4 kuna gari zingine nzuri sana ila watu wanazi-underrate kama Terios, Suzuki Escudo, Spacio na IST...hizi pia zinavumilia sana rough road!! Chaguo ni lako mkuu
Uimara wa terios ukoje mkuu?Huwa napnda sana muonekano wake ila na dought sana uwezo wake wakwenda safari ndefu naomba unipe mawili matatu kuhusu hii gari kiongoz
 
Hadi anakaa huko vichochoroni Mikoani anamanisha hana hela msaidieni jamani,acheni utani eti.Mkuu ungekuwa masaki ningekusaidie ununue gari lipi-just joking!!!!
 
Nunua rav4 kilitime ya mkononi kwa mtu kuanzia 12.5 unapata nzuri tu namba D.
 
Chukua Alteza ikiwa speed inapaa,ayo mashimo ugusi hata chembe"ni utani tu"

Toyota Probox au Succeed itakufaa kama walivyoshauri wadau kadhaa.
 
Msaaada wenu,

Niko mkoani barabara za vumbi naitaji kununua gari kwa ajili ya familia na binafsi gari iwe naulaji mzuri wamafuta pia iwe na muonekano mzur na pia uimara wa body.
Chukua
1. Nissan xtrail
2. Toyota cami/terious kid
3. Toyota probox
4.
 
Back
Top Bottom