Niko mkoa wenye barabara za vumbi, kwa bajeti ya Milioni 13 gari ipi nzuri kwa kutembelea kifamilia?

Niko mkoa wenye barabara za vumbi, kwa bajeti ya Milioni 13 gari ipi nzuri kwa kutembelea kifamilia?

Pickup double cabin, ubebee na maji na mkaa bila kusahau wajawazito hapo jirani na kusaidia pia kubeba jeneza, ndo maisha yetu ya vijijini,
 
  • Thanks
Reactions: PYD
Msaaada wenu,

Niko mkoani barabara za vumbi naitaji kununua gari kwa ajili ya familia na binafsi gari iwe naulaji mzuri wamafuta pia iwe na muonekano mzur na pia uimara wa body.
MAZDA TRIBUTOR CHUKUA CHAP
 
Chukua Rav 4 kill time iko juu,na kuna zingine zina 4wd,ila itakubidi uongeze kidogo hwla na uagize mwenyewe Japan
Unatafuta matatizo wewe ya moyo hivi unanijua kill time au huwa uh najiona tu, watulize mafundi na wazoefu kwa nn umeshajiuliza watu wanaziuza km njungu
 
  • Thanks
Reactions: PYD
Back
Top Bottom