Niko mkoa wenye barabara za vumbi, kwa bajeti ya Milioni 13 gari ipi nzuri kwa kutembelea kifamilia?

Niko mkoa wenye barabara za vumbi, kwa bajeti ya Milioni 13 gari ipi nzuri kwa kutembelea kifamilia?

Chukua hii mashine na utanishukuru bila shuruti!
5680.jpg
 
Uimara wa terios ukoje mkuu?Huwa napnda sana muonekano wake ila na dought sana uwezo wake wakwenda safari ndefu naomba unipe mawili matatu kuhusu hii gari kiongoz
Terios ni gari imara sana zipo aina 2 ya kwanza ni 1200cc na ingine ni 650cc. Gari hizi zote zinahimili njia za vumbi ila 650 cc kidogo usiwe na ruti za mbali sana sababu ni ndogo sana ila ina 4wd
 
hio bei bwashee ni ya extrail au probox...zitakufaa
 
Kwa mtu ni milioni 8 Hadi 9 na nusu ya kuagiza Japan ni milioni 13 Hadi 15, ila ni vyema uagize utaifurahia zaidi kuliko kumvua mtu.
Voltz ni pasua kichwa kwenye spare tu na shida nyingine hiyo gari siyo pure toyota hivyo kuna vitu vitakugharimu sana ingawa ni gari nzuri kimuonekano na kiufanisi pia
 
Voltz ni pasua kichwa kwenye spare tu na shida nyingine hiyo gari siyo pure toyota hivyo kuna vitu vitakugharimu sana ingawa ni gari nzuri kimuonekano na kiufanisi pia
Voltz imetengenezewa plant ya marekani wakati Toyota ana ubia na General Motors hivyo ina umarekani flani lazma spear ziwe ghali😂😂😂!
 
Gari inayokufaa huko ni toyota succeed, hii inavumilia matatizo yote na ndo hutumika kama mchomoko barabara za vijijini
 
Milion 13 unaagiza toyota Succeed au Probox ziko economical sana kwenye mafuta. Ground clearance ni kubwa.
 
Back
Top Bottom