BLACK MARXIST
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 2,458
- 5,352
Usisahau TRA kwa hiyo gari watahitaji si chini ya Milioni 12 kama ushuru.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usisahau TRA kwa hiyo gari watahitaji si chini ya Milioni 12 kama ushuru.
Hiyo design ni tamu kinyama.Design nzuri halafu gari ina nguvu.Sitaki tena kusikia juu ya BMW,zina design mbaya sana!Usisahau TRA kwa hiyo gari watahitaji si chini ya Milioni 12 kama ushuru.
Hiyo design ni tamu kinyama.Design nzuri halafu gari ina nguvu.Sitaki tena kusikia juu ya BMW,zina design mbaya sana!
Nawasifu sana kwenye design pamoja na power.BMW ni power ila wana poor design,yaani gari zao hazivutii machoni.Huku mashenzini hiyo ndio gari ya kuchukua
Wapi naweza pata kwa hiyo bei.Model ya 2011 ni million 15,aongeze million 2
Kwann isiuzwe au wamepiga marufuku zisiuzwe... [emoji23][emoji23][emoji23]RAV 4 inauzwa million 13?!
Daah Mkuu BM hazivutii labda zile za zamani aisee...Nawasifu sana kwenye design pamoja na power.BMW ni power ila wana poor design,yaani gari zao hazivutii machoni.
uimara wa toyota cami ukoje mkuu??Hiyo pesa unanua Toyota Cami, Rav 4 hupati kwa hiyo pesa labda ununue kwa mtu
Chukua spacio old au new model ni gari safi sana kwa familia hiyo na ina sifa Ote unazo takaMsaaada wenu,
Niko mkoani barabara za vumbi naitaji kununua gari kwa ajili ya familia na binafsi gari iwe naulaji mzuri wamafuta pia iwe na muonekano mzur na pia uimara wa body.
ProboxMsaaada wenu,
Niko mkoani barabara za vumbi naitaji kununua gari kwa ajili ya familia na binafsi gari iwe naulaji mzuri wamafuta pia iwe na muonekano mzur na pia uimara wa body.
Hapo kwenye xtrail hapana ila hizo zingine uko sahihi.Probox
X-trail
Spacio
Huyo jamaa anazingua sana, RAV 4 kama hiyo kwenye picha inauzwa kuanzia 50 Million....yeye sijui katoa wapi hizo data.....Your not serious, show room gani hiyo wanauza Rav 4 ya mwaka 2011 kwa milion 15? Labda hiyo ni bei ya kununulia Japan bado hujasafirisha na ushuru
Mkuu hii ni sawa na zile ulizoweka kwenye picha za mwanzoni???
Mkoa wenye barabara za vumbi?Msaaada wenu,
Niko mkoani barabara za vumbi naitaji kununua gari kwa ajili ya familia na binafsi gari iwe naulaji mzuri wamafuta pia iwe na muonekano mzur na pia uimara wa body.
Ushauri wangu: kama unataka SUV kwa bei rahisi basi kimbilia RAV4, na kama unataka kuagiza Japan mwenywe chukua Rav4 zile za zamani ndo SUV nzuri kwako...lakini kama unanunua hapa hapa bongo mkononi kwa mtu basi chukua Rav4 kilitime unapata na hata Miss Tanzania pia unapata japo inaweza kuwa namba B au A...ukitaka namba D ongeza ufike angalau 15M... (Japokama hizo plate namba hazina uhusiano na ubora au upya wa gari kiuhalisia). Tofauti na Rav 4 kuna gari zingine nzuri sana ila watu wanazi-underrate kama Terios, Suzuki Escudo, Spacio na IST...hizi pia zinavumilia sana rough road!! Chaguo ni lako mkuuMsaaada wenu,
Niko mkoani barabara za vumbi naitaji kununua gari kwa ajili ya familia na binafsi gari iwe naulaji mzuri wamafuta pia iwe na muonekano mzur na pia uimara wa body.
Ww ndio wale wale, kwan nissan imewafanya nn? Gari ni matunzo tu, nissan ukijua kuitunza unaishi nayo popoteHapo kwenye xtrail hapana ila hizo zingine uko sahihi.
Gari yeyote ambayo inachagua mazingira ya kuwa rafiki ni gari ya kipumbavu vinginevyo wewe hujamiliki gari unaleta story za vijiweni.Ww ndio wale wale, kwan nissan imewafanya nn? Gari ni matunzo tu, nissan ukijua kuitunza unaishi nayo popote