Niko mkoa wenye barabara za vumbi, kwa bajeti ya Milioni 13 gari ipi nzuri kwa kutembelea kifamilia?

Niko mkoa wenye barabara za vumbi, kwa bajeti ya Milioni 13 gari ipi nzuri kwa kutembelea kifamilia?

Msaaada wenu,

Niko mkoani barabara za vumbi naitaji kununua gari kwa ajili ya familia na binafsi gari iwe naulaji mzuri wamafuta pia iwe na muonekano mzur na pia uimara wa body.
Chukua spacio old au new model ni gari safi sana kwa familia hiyo na ina sifa Ote unazo taka
 
Probox kwa mkoa inafaa sana au ongeza kidogo chukua noah dungu nayo utadumu nayo. Hzo ndio family car
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Your not serious, show room gani hiyo wanauza Rav 4 ya mwaka 2011 kwa milion 15? Labda hiyo ni bei ya kununulia Japan bado hujasafirisha na ushuru
Huyo jamaa anazingua sana, RAV 4 kama hiyo kwenye picha inauzwa kuanzia 50 Million....yeye sijui katoa wapi hizo data.....

Hiyo yenyewe ya 2011 mpaka ikufikie bongo lazima ikutafune kuanzia 27Million na kuendelea
 
Msaaada wenu,

Niko mkoani barabara za vumbi naitaji kununua gari kwa ajili ya familia na binafsi gari iwe naulaji mzuri wamafuta pia iwe na muonekano mzur na pia uimara wa body.
Mkoa wenye barabara za vumbi?
Kama ni makao makuu ya mkoa, angalau kila mji umejengwa barabara.
Labda useme uko wilayani huko.
Je uko mkoa gani?!
 
Msaaada wenu,

Niko mkoani barabara za vumbi naitaji kununua gari kwa ajili ya familia na binafsi gari iwe naulaji mzuri wamafuta pia iwe na muonekano mzur na pia uimara wa body.
Ushauri wangu: kama unataka SUV kwa bei rahisi basi kimbilia RAV4, na kama unataka kuagiza Japan mwenywe chukua Rav4 zile za zamani ndo SUV nzuri kwako...lakini kama unanunua hapa hapa bongo mkononi kwa mtu basi chukua Rav4 kilitime unapata na hata Miss Tanzania pia unapata japo inaweza kuwa namba B au A...ukitaka namba D ongeza ufike angalau 15M... (Japokama hizo plate namba hazina uhusiano na ubora au upya wa gari kiuhalisia). Tofauti na Rav 4 kuna gari zingine nzuri sana ila watu wanazi-underrate kama Terios, Suzuki Escudo, Spacio na IST...hizi pia zinavumilia sana rough road!! Chaguo ni lako mkuu
 
Ww ndio wale wale, kwan nissan imewafanya nn? Gari ni matunzo tu, nissan ukijua kuitunza unaishi nayo popote
Gari yeyote ambayo inachagua mazingira ya kuwa rafiki ni gari ya kipumbavu vinginevyo wewe hujamiliki gari unaleta story za vijiweni.

Gari ime kata rubber ya driving shaft unapaki gari hadi spea itoke dar ikufikie mafinga ndio utembelee tena? hahaha fikiri tena jamaa yangu nazijua vyema sana kero za kuwa na gari tofauti na toyota ambazo ni common kwa nchi yetu hii tanzania mtu hawezi nidanganya
 
Back
Top Bottom