Niko mkoa wenye barabara za vumbi, kwa bajeti ya Milioni 13 gari ipi nzuri kwa kutembelea kifamilia?

Uimara wa terios ukoje mkuu?Huwa napnda sana muonekano wake ila na dought sana uwezo wake wakwenda safari ndefu naomba unipe mawili matatu kuhusu hii gari kiongoz
 
Hadi anakaa huko vichochoroni Mikoani anamanisha hana hela msaidieni jamani,acheni utani eti.Mkuu ungekuwa masaki ningekusaidie ununue gari lipi-just joking!!!!
 
Nunua rav4 kilitime ya mkononi kwa mtu kuanzia 12.5 unapata nzuri tu namba D.
 
Chukua Alteza ikiwa speed inapaa,ayo mashimo ugusi hata chembe"ni utani tu"

Toyota Probox au Succeed itakufaa kama walivyoshauri wadau kadhaa.
 
Msaaada wenu,

Niko mkoani barabara za vumbi naitaji kununua gari kwa ajili ya familia na binafsi gari iwe naulaji mzuri wamafuta pia iwe na muonekano mzur na pia uimara wa body.
Chukua
1. Nissan xtrail
2. Toyota cami/terious kid
3. Toyota probox
4.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…