Niko na shida nahitaji kumbadilisha jina mwanangu kutoka Samia kuwa Amina, Utaratibu ukoje?

Utaratibu ni kwenda kuapa mahakamani kwa niaba yake, ili aweze kutumia jina hilo la Amina kisheria.

By the way, hivi akija Rais mwingine mwenye jina la Amina utaomba tena kumbadirisha jina tena iwapo ataanza kuboronga?
Sawa nitafanyia kazi
 
Muite chausiku ndio zuri zaidi
 
Nenda mahakamani utaapa na kubadili jina.
Ila sidhani jina linaumba hulka ya mtu kwani Steve Nyerere angekuwa na akili nje ya uchawa.
Yule ni Steve mengere
 
Ukiachana Na Ukweli wa Mawazo Yako Kwa Mtoto Wako Mi Nakutaka pia Kuangalia Tabia Za Mkeo Wakati yuko Kwenye Prime Yake.
 
Umemuina lakini mwenzio Slaa?,
Au unataka nini?.
 
Kwahiyo, Amina naye akichemsha utambadili jina uanze kumuita ya kiume?
 
Hilo Jina zuri sana muache nalo litamsaidia sana mbeleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…