Niko na shida nahitaji kumbadilisha jina mwanangu kutoka Samia kuwa Amina, Utaratibu ukoje?

Kiufupi baada ya kupata mtoto wangu 2021 nilimpa Jina la Samia kutokana na mafanikia ya bi mkubwa mmoja mtaani ambaye alikuwa mwanamke wa kwanza pale mtaani kuwa na Master of Science in Computer Science, lakini namna alivyokuwa ghafla hizi siku za karibuni, siamini kama anaweza kuwa mfano mzuri kwa mwangu tena na najilaumu kwa kurupuka kufanya maamuzi hayo.

Ningeomba mtu mwenye uelewa wa namna za kubadilisha majina la mwanangu kutoka Samia kwenda Amina.
Huyo mtoto kwa bahati mbaya utampa malezi awe na debe tupu kichwani kama wewe.
 
Kiufupi baada ya kupata mtoto wangu 2021 nilimpa Jina la Samia kutokana na mafanikia ya bi mkubwa mmoja mtaani ambaye alikuwa mwanamke wa kwanza pale mtaani kuwa na Master of Science in Computer Science, lakini namna alivyokuwa ghafla hizi siku za karibuni, siamini kama anaweza kuwa mfano mzuri kwa mwangu tena na najilaumu kwa kurupuka kufanya maamuzi hayo.

Ningeomba mtu mwenye uelewa wa namna za kubadilisha majina la mwanangu kutoka Samia kwenda Amina.
Nenda naye kwa advocate akudaidie
Andaa kama 30k
 
Back
Top Bottom