Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
kwa nini asiwaambie ndugu? kwani kuna kosa kafanya. Kumpa mimba mtu lazima kuwe na taarifa kwa wazazi kwa pande zote husika. Atakayezaliwa anaunganisha familia nzima tusifiche
Ukishampa mimba binti wazazi lazima wawe upande wako.Inategemea na wazazi. Wengine ni wakali na wanataka mpaka umalize kile kitu unachofanya (masomo) ndiyo uingie kwenye familia maana wanaona km ulienda kutafuta mapenzi na siyo elimu.
Mzazi mwenye huruma siku zote ni Mama tu
Endesha familia kwa kubet unee kama hujalaza watoto njaaaAnza kubet tu kijana .iyo Boom kubwa sana .weka stake ya buku 5 kwa match 2 uokote 20k bila tamaa...sahivi na weka adi 100k kwa match 2 au 3 naondka na 400k + plus kufungua biashara zingine soon navuta ndiga ya ndoto zangu..
Haujajibu swali badoMkuu niliforce kutumia ndomu manzi hataki
Nime weka kama chanzo cha pesa cha pembeni tu ..ila ni moja ya vyanzo vilivyo nisaidiaEndesha familia kwa kubet unee kama hujalaza watoto njaaa
Ulioa na 25?Nani aliyekwambia umefanya kosa? Kumpa mimba binti ukiwa chuo wala sio kosa. Kuna faida nyingi sana kama ukija kumuoa huyo binti na mkaendeleza familia yenu. Mimi nilimpa mimba mke wangu nikiwa second year chuo na nilikuwa na wasiwasi ila nikapiga moyo konde akazaa mtoto na baada ya miaka mitatu nikamuoa. Kwa sasa nina miaka 43 mtoto wangu yuko chuo kikuu nje ya nchi mwaka wa pili (umri kama wako). Nasubiri amalize apate kazi. Wenzangu ambao tuko umri sawa vitoto vyao ndio viko la saba kwa sasa. Nakaribia kuitwa babu kama mwanangu nae akitembelea nyota yangu ya ngono zembe
So dogo lea mimba waambie wazazi na uje kumuoa huyo binti faida utaziona baadae. Watu wengi wanaanza kusomesha watoto chuo wakati wanakaribia kustaafu. Wewe utamaliza kusomesha mtoto ukiwa 45 kisha una-concentrate na maendeleo mengine. Na asikwambie mtu kusomesha kazi sana ukilifanya mapema kutokana na kupata watoto mapema utatoboa kimaisha
Hahhhh kamalian,,,nitaanzaAnza kubet tu kijana .iyo Boom kubwa sana .weka stake ya buku 5 kwa match 2 uokote 20k bila tamaa...sahivi na weka adi 100k kwa match 2 au 3 naondka na 400k + plus kufungua biashara zingine soon navuta ndiga ya ndoto zangu..
Daaaa kweli,hakuna namna naweza kosa mtoto mbeleni mkuuAcha uzwazwa ww jitutumue lea io mimba na wazee piga panga za maana ukimaliza chuo uone watavyofurah kupata mjukuu
Tatizo lenu ninyi vijana wa sasa mnawaona wazaz wenu km MUNGU wao wrnyewe huko wamepitia sn tu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kwaiyo wewe unatoa ushauri au wewe unataka ushauri???? utakuwa UDOM wewe
Daaa yote heriMara paaaaap unapata mapacha wanne!Nina uhakika hiyo machine italala bila kushtuka kwa miaka kumi
Thanks mkuu,Watu wengi katika jamii tunapenda Sana kulaumu wengine Kama vile sisi pia hatufanyi makosa. Pole Sana kwa Changamoto hiyo
Daaa unadhambi wew wanaonesha miguno tu,no realityHahahaha dah sema ule mzigo director mbovu
Acha ujinga.Mhhh mbona hatari na nusu wazee...bora aitoe tuu
Please hide my IdCBE ni chuo kikuu?
Akili za kupewa changanya na zako...Hv nyie wasomi wa sku hz mna matatzo gan kitu kdogo unakuja kulialia hapa,aya ushauri gan unataka au unataka tukwambie basi toa mimba