Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Unasimama for motherland, ni alama ya taifa hio
Nitasimama leo
Kesho
Na kesho kutwa.
This is motherland.
Kama ulifundishwa na umesahau rudi shule, au omba madogo wa darasa hilo wakupige msasa.
HUU UTARATIBU ULILETWA NA NANI?Ni protocol...bendera ya Taifa ni alama ya Taifa,heshima kwa bendera ni heshima kwa Taifa lako. Ni sheria kusimama wakati bendera inashushwa,kupandishwa au kama inapita mbele yako.
Kama unayo pesa ya kulipia kulala kituoni fanya hivyoMm zikipigwa hizo filimbi napiga mishe as usual [emoji23][emoji23][emoji23]
Wengine tupo mbali na hicho kituo ilipopigwa flilimbi. Ebu ingia hapo kituoni uwaeleze hii habari halafu utupe majibu badala ya kutuuliza ambao hatupo hapo.Habari za jioni wakuu!
Niko polisi hapa kituo ambacho kipo karibu na soko! Imepigwa filimbi na watu wote wamesimama mpaka jamaa kamaliza kushusha bendera akapiga tena filimbi ndiyo watu wakaendelea na mishe!
Hivi huu si utumwa?
Maana yake nini kwa kizazi cha leo?
Mimi yote hayo yakiendelea nilikuwa nimekaa tu naperuzi!
Naweza kushtakiwa kwa kosa gani?
Nauliza maana nahitaji kujifunza zaidi, nikiwa shule ya msingi tuliwahi kufundishwa hili ila nimesahau maana yake!
Yeye anaona ni ujanja kutosimama, siku akidakwa akawekwa lupango kwa kosa la kipuuzi kama hilo ataishia kutukana na kulalamika.Kuna siku isio na jina utajichanganya TU Ndio utajua ni HARAMU au HALALI
UTII wa bendera ya nchi na wimbo wa Taifa unafundishwa kuanzia shule ya Msingi sasa sijui mwenzetu umesomea Kenya au ulaya
Usijaribu ukiwa LUGALO hosptari utajutaHabari za jioni wakuu!
Niko polisi hapa kituo ambacho kipo karibu na soko! Imepigwa filimbi na watu wote wamesimama mpaka jamaa kamaliza kushusha bendera akapiga tena filimbi ndiyo watu wakaendelea na mishe!
Hivi huu si utumwa?
Maana yake nini kwa kizazi cha leo?
Mimi yote hayo yakiendelea nilikuwa nimekaa tu naperuzi!
Naweza kushtakiwa kwa kosa gani?
Nauliza maana nahitaji kujifunza zaidi, nikiwa shule ya msingi tuliwahi kufundishwa hili ila nimesahau maana yake!
Aisee, hata hilo hujui?Habari za jioni wakuu!
Niko polisi hapa kituo ambacho kipo karibu na soko! Imepigwa filimbi na watu wote wamesimama mpaka jamaa kamaliza kushusha bendera akapiga tena filimbi ndiyo watu wakaendelea na mishe!
Hivi huu si utumwa?
Maana yake nini kwa kizazi cha leo?
Mimi yote hayo yakiendelea nilikuwa nimekaa tu naperuzi!
Naweza kushtakiwa kwa kosa gani?
Nauliza maana nahitaji kujifunza zaidi, nikiwa shule ya msingi tuliwahi kufundishwa hili ila nimesahau maana yake!
Ulikuwa kambi ipi ya jeshi hapo Morogoro?Siku Moja yalinikuta morogoro!sikuisikia hiyo filimbi!
Baaada muda nikawekwa chini ya ulinzi,nikatiii.pona pona yangu ilikuwa vitambulisho vyangu,[emoji23] tukaishia kupeana mikono.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Naunga mkonoNitasimama leo
Kesho
Na kesho kutwa.
This is motherland.