Powell Gonzalez
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 843
- 1,630
Ama kweli ina watu wa hovyo nchi hii, nawe u miongoni mwa watu wa hovyo, nimethubisha hili. Laiti usingekuwa mtu wa hovyo kwenye maswali yote aliyouliza umeliona hilo tu?ameuliza asiposimama atashtakiwa kwa kosa gani? badala ya kumjibu unaleta ngonjera.. hii nchi ina watu wa hovyo sana