Niko polisi imepigwa filimbi ya kushusha bendera watu wote wakasimama! Hii maana yake nini?

Nitaliheshimu Taifa langu Tanzania na Bendera yake nitaiheshimu na kujivunia utaifa wangu
Sote tunaheshimu na kulipenda taifa letu mkuu!
Ni katika kuelekezana tu
 
Hili swali hata ukiuliza watoto wa la kwanza wanakujibu
 
Majibu yote ungepata kama ungetembea mda ambao wenzako wamesimama mkuu
 
Wewe utakuwa sio mtanzania halisi, swala hilo tumefundishwa na kulizoea toka tupo shule za kayamba
 
Wewe utakuwa sio mtanzania halisi, swala hilo tumefundishwa na kulizoea toka tupo shule za kayamba
Hata mimi nimefundishwa shule ya msingi na kulikuwa na bendera na huo utaratibu ulikuwepo!

Sasa
 
Ni muhimu kuheshimu alama ya Taifa lako. Kuna siku utakuja kuvunjwa miguu ndo tutajua utashtakiwa kwa kosa gani.

Nenda kambi ya Jeshi alafu ipigwe filimbi ya kushusha/kupandisha Bendera ya Taifa alafu wewe Endelea na mishe zako.
 
hizo ndio asante pekee unaweza kumpa mama Tanzania.kumheshimu na kumuenzi.

Usiwe kama ccm waliogoma kuieheshimu katiba,onyesha kwamba utaiheshimh ktk mambo madogo na hata makubwa kabisa.
 
Hata ukifundishwa/kukumbushwa ulichofundishwa shuleni kuna uhakika gani kwamba hautasahau tena?
 
ameuliza asiposimama atashtakiwa kwa kosa gani? badala ya kumjibu unaleta ngonjera.. hii nchi ina watu wa hovyo sana
 
ngonjera tu unaimba.. upigwe eti hujasimama bendera inatolewa juu mti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…