Niko polisi imepigwa filimbi ya kushusha bendera watu wote wakasimama! Hii maana yake nini?

ameuliza asiposimama atashtakiwa kwa kosa gani? badala ya kumjibu unaleta ngonjera.. hii nchi ina watu wa hovyo sana
Ama kweli ina watu wa hovyo nchi hii, nawe u miongoni mwa watu wa hovyo, nimethubisha hili. Laiti usingekuwa mtu wa hovyo kwenye maswali yote aliyouliza umeliona hilo tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…