MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Niko Singida hapa, huu mkoa umebarikiwa kila nyanja, mkoa una kila kitu huu. Hali ya hewa nzuri balaa.
Mzunguko mkubwa wa hela labda kuliko Arusha na Mwanza, hata Dar anataka kupitwa. Idadi kubwa ya watu.
Ni Kama kila barabara huku ina lami. Kila nyumba huku ni ya kisasa. Umeme na maji mpaka vijijini.
Ujenzi mkubwa wa uwanja wa ndege wa kimataifa uko hatua za mwisho. Mashirika makubwa ya kimataifa yana makao makuu huku mf UNICEF, WHO, ICAP, nk.
Huu mkoa ni chanzo ya karibia msosi wote wa Tanzania.
Ni wakati Sasa wa kuweka siasa pembeni na kuupa huu mkoa hadhi ya jiji.
Natanguliza shukrani.