MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Itakuwa wewe umetokea Lindi... Na hujawahi fika mjini kabisaNiko Singida hapa, huu mkoa umebarikiwa kila nyanja,mkoa una kila kitu huu.
Hali ya hewa nzuri balaa
Mzunguko mkubwa wa hela labda kuliko Arusha na Mwanza, hata Dar anataka kupitwa.
Idadi kubwa ya watu.
Ni Kama kila barabara huku ina lami.
Kila nyumba huku ni ya kisasa.
Umeme na maji mpaka vijijini.
Ujenzi mkubwa wa uwanja wa ndege wa kimataifa uko hatua za mwisho.
Mashirika makubwa ya kimataifa yana makao makuu huku mf unicef, who, Icap,nk.
Huu mkoa Ni chanzo ya karibia msosi wote wa Tanzania .
Ni wakati Sasa wa kuweka siasa pembeni na kuupa huu mkoa hadhi ya jiji.
Natanguliza shukrani.
Kitu kimoja hujakitaja. Singida wanawake Wana mapenzi matamu sana.Niko Singida hapa, huu mkoa umebarikiwa kila nyanja,mkoa una kila kitu huu. Hali ya hewa nzuri balaa.
Mzunguko mkubwa wa hela labda kuliko Arusha na Mwanza, hata Dar anataka kupitwa. Idadi kubwa ya watu.
Ni Kama kila barabara huku ina lami. Kila nyumba huku ni ya kisasa. Umeme na maji mpaka vijijini.
Ujenzi mkubwa wa uwanja wa ndege wa kimataifa uko hatua za mwisho. Mashirika makubwa ya kimataifa yana makao makuu huku mf UNICEF, WHO, ICAP, nk.
Huu mkoa ni chanzo ya karibia msosi wote wa Tanzania.
Ni wakati Sasa wa kuweka siasa pembeni na kuupa huu mkoa hadhi ya jiji.
Natanguliza shukrani.
Naam, mashallahKuna
Kitu kimoja hujakitaja. Singida wanawake Wana mapenzi matamu sana.
Shepu zao za kufa mtu
Achana na bangiDah! Nimependa uwasilishaji wako wa kifasihi.
Ningependa kujua hivi Una undugu na yule Mwandishi wa kile kitabu kinaitwa "A man of the people"??
Mnafanana Sana uwasilishaji wenu.
Singida hii hii ama nyingine, bado sana tena sanaNiko Singida hapa, huu mkoa umebarikiwa kila nyanja,mkoa una kila kitu huu. Hali ya hewa nzuri balaa.