MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,607
- Thread starter
-
- #61
albert einstein alikua noma sana mkuu...ndo the father of modern physics
GE!!!??GE tunamkumbuka sana huyu jamaa....
General Electric Co.GE!!!??
pamoja mkuuGeneral Electric Co.
mkuu tafuta facts mkuu, Tesla alikuwa mentor wa einstain, ndio amemotivate wanasayansi vijana wa wakati huo akiwemo na einstain.
Wamarekani wanajaribu kumuhafififsha huyu jamaa na kumkuza einstain lakini ukweli uko moyoni mwao.
mkuu tafuta facts mkuu, Tesla alikuwa mentor wa einstain, ndio amemotivate wanasayansi vijana wa wakati huo akiwemo na einstain.
Wamarekani wanajaribu kumuhafififsha huyu jamaa na kumkuza einstain lakini ukweli uko moyoni mwao.
nicola tesla ni father of H.A.A.R.P ... IYO NI WEAPON MOJA BALAA SANA ingwa wazungu wanasema ni just research but H.A.A.R.P INAWEZA KULETA HATA MADHARA DUNIANI MFANO IT CAN CREATE EARTH QUAKE.
HAARP ni Weather weapon.... wanaweza ku create hurricanes, earthquakes and tsumani
navosema ni weather weapon namaanisha zile antenna walizoziweka huko alaska... znauwezo mkubwa wa kutuma high frequencies kwenye ionosphere ambayo wana i-disturb hence wanaweza ku manipulate weather ....H.A.A.R.P=High-frequency Active Auroral Research Project.
Mkuu huyo tesla hafai,kwani einstain aligundua nini tofauti na bomu la nyukiliahivi kuna chanzo chochote kinaweka wazi kuwa mentor wa einstein alikua tesla
Mimi simjui vzuri tesla lakini einstein namjuajua na nimemsoma pia,huyu jamaa alikua noma..kuna wakati ashapewa fursa ya kua rais wa taifa la marekani kipindi hicho lakini akakataa...ni mtu ambaye theory zake mpaka leo wanasayansi bado zinawatatiza
haijalishi nani alikua mentor wa nani
Kumbe upo deep.....nilidhani ni kwenye chama tuTesla alikuwa ni mvumbuzi si mfanya biashara.
Wametengeneza gari sasa hivi za umeme kwa kutumia teknolojia yake ya betri na super charger aliyoivumbuwa miaka mingi sana iliyopita , zinafanya kazi vizuri na zinauzika sana kuliko gari yoyote ya umeme na imepewa jina hilo hilo Tesla:
Source na soma zaidi: Tesla Motors | Premium Electric Vehicles
Kumbe upo deep.....nilidhani ni kwenye chama tu