Dahafrazeril
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 1,500
- 2,058
Exactly!Huyu hajafa bado anaishi ndio maana matunda ya kazi zake yanajidhihirisha hadi leo
Kafa kimwili ila bado anaishi kifikra.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Exactly!Huyu hajafa bado anaishi ndio maana matunda ya kazi zake yanajidhihirisha hadi leo
Achaga ubishi...no research no right to speak...hivi kuna chanzo chochote kinaweka wazi kuwa mentor wa einstein alikua tesla
Mimi simjui vzuri tesla lakini einstein namjuajua na nimemsoma pia,huyu jamaa alikua noma..kuna wakati ashapewa fursa ya kua rais wa taifa la marekani kipindi hicho lakini akakataa...ni mtu ambaye theory zake mpaka leo wanasayansi bado zinawatatiza
haijalishi nani alikua mentor wa nani
[emoji810]veHakuwa freemason kweliiii
Tesla motors ipo kwa kumbukumbu ya Nicola Tesla..Tesla , amethibitisha na kuweka wazi wazo langu ambalo naliamini hadi kura , kuwa " Wazungu ni Wanafiki Zaidi ya Nyoka!!
Ona, sasa walichomfanya , kwa kuchukua kila kitu chake (Mawazo) na kisha kushindwa hata kumpa heshima kuwa mawazo hayo yalikuwa yake. Ila tatizo ni kuwa tu yeye hakuwa mzungu halisi.
Maana asili ya nchi yake kuna wazungu wengi sana jadi leo hio huwa wanasema wale siyo wazungu ila wamebadilika tu na kuwa na rangi ya ngozi hiyo.
Hajafa AmefarikiHuyu hajafa bado anaishi ndio maana matunda ya kazi zake yanajidhihirisha hadi leo
Mkuu una mess up Kumfananisha Tesla na Eisten unakosea Hao watu ni tofauti kabisa Albert Einstein yeye ni Theoretical Physicist wakati N Tesla ni Experimental physicist, Albert Einstein Hakutengeneza Bomu la nyukilia isipokuwa Equation zake zilisaidia kuformulate, Wote Walikuwa Njema mno, Albert muweke na wakina Hawking,Marie curieMkuu huyo tesla hafai,kwani einstain aligundua nini tofauti na bomu la nyukilia
Tesla , amethibitisha na kuweka wazi wazo langu ambalo naliamini hadi kura , kuwa " Wazungu ni Wanafiki Zaidi ya Nyoka!!
Ona, sasa walichomfanya , kwa kuchukua kila kitu chake (Mawazo) na kisha kushindwa hata kumpa heshima kuwa mawazo hayo yalikuwa yake. Ila tatizo ni kuwa tu yeye hakuwa mzungu halisi.
Maana asili ya nchi yake kuna wazungu wengi sana jadi leo hio huwa wanasema wale siyo wazungu ila wamebadilika tu na kuwa na rangi ya ngozi hiyo.
mmh nawewe umetokea wapi?Hakuwa freemason kweliiii
nicola tesla had contact with extraterestrial Alliens...intellectuals solves problems but Geniuses prevents them...
many pipo claimed that the man had contact with an extraterestrial Alliens...Hakuwa freemason kweliiii
exactly....nipo na ww....akili ya tesla haikuwa ya kawaida...alikuwa na uwezo wa kuongea na Alliens....aise this man had been implanted outsider brain...real...Mkuu una mess up Kumfananisha Tesla na Eisten unakosea Hao watu ni tofauti kabisa Albert Einstein yeye ni Theoretical Physicist wakati N Tesla ni Experimental physicist, Albert Einstein Hakutengeneza Bomu la nyukilia isipokuwa Equation zake zilisaidia kuformulate, Wote Walikuwa Njema mno, Albert muweke na wakina Hawking,Marie curie
nicola tesla had contact with extraterestrial Alliens...
![]()
To the people around him this was simply incredible. Tesla had unusual amounts of energy and would get complete schematics in an instant. All this and much more points to two possible conclusions: Tesla was an E.T. or Tesla was able to contact them and the invisible realms and that is how he would get his ideas and energy.
Probably the most famous Tesla quote regarding his communication with other realms is:
Tesla openly stated that his brain was a receiver and that the knowledge came from a core. Was he trying to mask the fact that he was communicating with an E.T. race that many say he was a part of?
It is possible, but it is certainly much easier to explain his incredible work to the public in this way, saying that he was doing something that Da Vinci and Einstein were also famous for – communication with other realms.
Another quote is very interesting:
The whole process explained in his words, an invention in his brain without any drawing, experiments, something most people can only dream of, yet so natural to Tesla. Was it possible because he communicated with E.T.’s, other realms, the core as he called it?
Nikola Tesla built a laboratory in Colorado Springs, Colorado, in 1899, to experiment with high frequency electricity and other phenomena. In that laboratory he received and recorded cosmic radio waves on his sensitive instruments.
He announced that he received extraterrestrial radio signals. The scientific community in 1899 did not believe him, because knowledge of cosmic radio signals did not exist at that time.
many pipo claimed that the man had contact with an extraterestrial Alliens...
exactly....nipo na ww....akili ya tesla haikuwa ya kawaida...alikuwa na uwezo wa kuongea na Alliens....aise this man had been implanted outsider brain...real...
Tesla motors ipo kwa kumbukumbu ya Nicola Tesla..