NIKOLA TESLA: Kwa nini watu kama hawa dunia ni nadra kuwapata?

NIKOLA TESLA: Kwa nini watu kama hawa dunia ni nadra kuwapata?

Mkuu kilichofanya workshop yake ipigwe kiberiti ni ile idea yake ya "free energy". Na hii sio issue ya wireless transmission of electricity BUT alikaa akafikiria " kama air ni rich in positive ions and ground ni rich in negative ions" then kuna posibility ya kugenerate umeme kwa kupitia dhana hiyo na ndio sababu alijenga ile tower!. Na kwenye workshop yake serikali ya marekani haikuchoma "document" zozote but walikomba document zote then wakachoma workshop as an alibi.
There will be a free energy for everyone everywhere....hiki kichwa kilikuwa hatari sana.....jamaa waliona watakosa mapato ...kama ...kukiwa na free energy....pia inasemekana jamaa aliuwawa na FBI...ila kitu kingine....huyu jamaa hakuandika sana....juu ya project zake za baadae...vitu vingi alifanya kutokea kichwani mwake.....
 
There will be a free energy for everyone everywhere....hiki kichwa kilikuwa hatari sana.....jamaa waliona watakosa mapato ...kama kukiwa na free energy....pia inasemekana jamaa aliuwawa na FBI
na kuna jamaa mwingine alikuja na dawa ya kutibu cancer kwa muda mfupi sana within days ila hakuchukua round fbi wakammaliza
 
Kanichosha sana huyu...inamaaana katika uhai wake hakuwawahi kuonja mwanamke daah! Bila shaka kila alipomtizma mwanamke pengine alihisi anaweza kuutengeneza utamu artficial akauweka maabara akawa anaudoo instead of kumiliki mwanamke
 
Mkuu kwa upande wangu nimewasoma watu hawa sijaona mwana sayansi anayemzidi huyu jamaa
serius...nicola alikuwa ni mchawi...hakuna mwanasayansi aliyewahi kulipotiwa kuqa alikuwa ana uwezo wa kuona electromagnetic waves ila NIKOLA TESLA ndo mtu pekeeew aliyekuwa anaziona kwa macho...
unaweza ukafikiri utani but this man was so mother fucker[emoji3] [emoji3]
 
serius...nicola alikuwa ni mchawi...hakuna mwanasayansi aliyewahi kulipotiwa kuqa alikuwa ana uwezo wa kuona electromagnetic waves ila NIKOLA TESLA ndo mtu pekeeew aliyekuwa anaziona kwa macho...
unaweza ukafikiri utani but this man was so mother fucker[emoji3] [emoji3]
Alikuwa anapata flashes....mara kwa mara...akili yake ilikuwa ina GB kubwa *****
 
albert einstein alikua noma sana mkuu...ndo the father of modern physics
Nah!!! einstein yy alipaishwa 2 2 na wamarekani ila kuna great scintists and genius kama
-LEORNADO DA VINCI
-NIKOLA TESLA
-ISAAC NEWTON
-MARRY CURRIE
-HENRY BACQUIRE
-RONTGEN
KISHA NAMUWEKA Eisnstein hapa
KWA KUWA HATA GENERAL RELATIVITY YAKE ALIIKOSEA SANA HADI TESLA ALIPOKUJA KUMREKEBISHA LAKINI BADO HAWAKUMKUBALI .R.I.P tesla
 
hivi kuna chanzo chochote kinaweka wazi kuwa mentor wa einstein alikua tesla,tofauti na hio picha maana yaweza kua ni effects za adobe photoshop.


Mimi simjui vzuri tesla lakini einstein namjuajua na nimemsoma pia,huyu jamaa alikua noma..kuna wakati ashapewa fursa ya kua rais wa taifa la marekani kipindi hicho lakini akakataa...ni mtu ambaye theory zake mpaka leo wanasayansi bado zinawatatiza

haijalishi nani alikua mentor wa nani
Labda nikurekebishe einstein alitaka kupewa uraisi wa israeli akakataaa na kusema hivi "I HAVE NO HEARD FOR HUMAN PROBLEMS" lakini kwa kusema nani zaidi TESLA NI SHIDA kwa kuwa kwanza einstein consept nyingi r non scientific prooved mfano general relativity pale kwenye time traveling
 
Nah!!! einstein yy alipaishwa 2 2 na wamarekani ila kuna great scintists and genius kama
-LEORNADO DA VINCI
-NIKOLA TESLA
-ISAAC NEWTON
-MARRY CURRIE
-HENRY BACQUIRE
-RONTGEN
KISHA NAMUWEKA Eisnstein hapa
KWA KUWA HATA GENERAL RELATIVITY YAKE ALIIKOSEA SANA HADI TESLA ALIPOKUJA KUMREKEBISHA LAKINI BADO HAWAKUMKUBALI .R.I.P tesla
Wote hawa wanasubiri kwa Tesla....the guy has done so many things...
 
Back
Top Bottom