cherie neisha
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,873
- 20,705
He has always been my role model.A very talented and hardworking man.A genius.He lived and died in obscurity.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tesla ni genius, Ngoja nikamfuatilie ktk documentarykwa point ya hapo chini, Tesla hakuhitaji mathematical formulas kuvumbua vitu kama akina Einstain ambaye formula yake ilitengeneza bomu la atomic liliouwa wajapani, jamaa alifikiri na kufanya majaribio na kuwaacha watu midomo wazi.
mfano alipotengeneza vibrating electric shock ambayo ilitetemesha ghorofa zima ilasababisha police na zima moto wajaea lakini kumbe ni tesla alikuwa kazini.
Baada ya hapo alisema anaweza tengeneza low friquency electric vibrator ambayo ikifungwa madarasani na watu wanapokuwa wanasoma hiyo vibration inaweza kustimulate ubongo na hata kama ni kilaza kiasi gani lazima akili zichaji.
Jamaa hawakumtilia maani lkn angeweza,
Hongera sana, Tesla ni baba wa electromagnetismTesla alikuwa ni mvumbuzi si mfanya biashara.
Wametengeneza gari sasa hivi za umeme kwa kutumia teknolojia yake ya betri na super charger aliyoivumbuwa miaka mingi sana iliyopita , zinafanya kazi vizuri na zinauzika sana kuliko gari yoyote ya umeme na imepewa jina hilo hilo Tesla:
![]()
Source na soma zaidi: Tesla Motors | Premium Electric Vehicles
Ni kweli ila jamaa alikuwa na Akili kubwa sana. Kilichoniuma sana ni kwamba "inasemekana Akina Thomas Edison walimuua kimya kimya asee" baada ya kuona anahatarisha ustawi (sustainability) na mendeleo ya projects zao za umeme.Kuna watu walizaliwa kwaajili ya kuyatumia mawazo ya watu wengine kitu anagundua mtu mwingine na maalufu anakuwa mtu mwingine.
Kweli kabisa Mkuu. Binafisi pia napenda sana kujua historia za Wanasayansi hawa zamani na mambo makubwa waliyowahi kufanya hapa duniani.Shikamoo mkuu napenda sana kufuatilia mambo hayo hafu waonekana unajua mengi and you sound like Jf member called Juve2012..
Mkuu naomba ufunguke yote kuhusu huyu Da Vinci maana simuelewagi kabisa..
Somo la fizikia lilunikutanisha naye huyu nduguSikuwahi msikia huyu mtu, asante mtoa mada!!
Kifupi hakuwa mtu wa kawaida, ni Alien (Angle). Kwa mjibu wa maandiko mbalimbali yanavyodai.Huyu jamaa ni hatari aseee
Fuatilia kuanzia mwanzo mwa Uzi wamedadafua sana tu. Yaani utafurahia na kujifunza mengi sanaNami nasubiri wataalamu watudadavulie