NIKOLA TESLA: Kwa nini watu kama hawa dunia ni nadra kuwapata?

NIKOLA TESLA: Kwa nini watu kama hawa dunia ni nadra kuwapata?

Kuna watu walizaliwa kwaajili ya kuyatumia mawazo ya watu wengine kitu anagundua mtu mwingine na maalufu anakuwa mtu mwingine.
 
kwa point ya hapo chini, Tesla hakuhitaji mathematical formulas kuvumbua vitu kama akina Einstain ambaye formula yake ilitengeneza bomu la atomic liliouwa wajapani, jamaa alifikiri na kufanya majaribio na kuwaacha watu midomo wazi.

mfano alipotengeneza vibrating electric shock ambayo ilitetemesha ghorofa zima ilasababisha police na zima moto wajaea lakini kumbe ni tesla alikuwa kazini.

Baada ya hapo alisema anaweza tengeneza low friquency electric vibrator ambayo ikifungwa madarasani na watu wanapokuwa wanasoma hiyo vibration inaweza kustimulate ubongo na hata kama ni kilaza kiasi gani lazima akili zichaji.
Jamaa hawakumtilia maani lkn angeweza,
Tesla ni genius, Ngoja nikamfuatilie ktk documentary
 
Tesla alikuwa ni mvumbuzi si mfanya biashara.

Wametengeneza gari sasa hivi za umeme kwa kutumia teknolojia yake ya betri na super charger aliyoivumbuwa miaka mingi sana iliyopita , zinafanya kazi vizuri na zinauzika sana kuliko gari yoyote ya umeme na imepewa jina hilo hilo Tesla:

hero_forest_nored.jpeg

Source na soma zaidi: Tesla Motors | Premium Electric Vehicles
Hongera sana, Tesla ni baba wa electromagnetism
 
Kuna watu walizaliwa kwaajili ya kuyatumia mawazo ya watu wengine kitu anagundua mtu mwingine na maalufu anakuwa mtu mwingine.
Ni kweli ila jamaa alikuwa na Akili kubwa sana. Kilichoniuma sana ni kwamba "inasemekana Akina Thomas Edison walimuua kimya kimya asee" baada ya kuona anahatarisha ustawi (sustainability) na mendeleo ya projects zao za umeme.

Wasingemuua mpaka sasa tungekuwa na "umeme Wa wireless" na vitu vingine adimu kibao tu kutoka kwake.

Inasemekana kuwa "angeweza tengeneza low friquency electric vibrator ambayo ikifungwa madarasani na watu wanapokuwa wanasoma hiyo vibration inaweza kustimulate ubongo na hata kama ni kilaza kiasi gani lazima akili zichaji. Jamaa hawakumtilia maani lkn angeweza" (quoted somewhere).

Tesla hakuwa mtu Wa kawaida asee, RIP Genius Wa dunia.
 
Shikamoo mkuu napenda sana kufuatilia mambo hayo hafu waonekana unajua mengi and you sound like Jf member called Juve2012..
Mkuu naomba ufunguke yote kuhusu huyu Da Vinci maana simuelewagi kabisa..
Kweli kabisa Mkuu. Binafisi pia napenda sana kujua historia za Wanasayansi hawa zamani na mambo makubwa waliyowahi kufanya hapa duniani.

Nakuomba Mkuu ktk Uzi huuhuu uwe unatuletea mmoja baada ya mwingine, kama vile:-

-Isaac Newton. ...
-Niels Bohr. ...
-Galileo Galilei. ...
-Albert Einstein. ...
-James Clerk Maxwell. ...
-Michael Faraday. ...
-Marie Curie. ...
-Richard Feynman...
-John Dalton...
-Nawengine wengi...

Fanya hivo Mkuu...
 
Nikola Tesla was one of the greatest human being who ever lived. His contribution is not well understood or acknowledged by today society.

He had his issues and wrong ideas but nevertheless he was one of the greatest.
 
Mwenyezi Mungu ametubariki sana ingawa baraka zake tunaona fahali kuzipiga teke. Tunaziona za wana wa Israel tu. Tujiulize tunachokosa nini mpaka tushindwe kufanya wanayofanya waisrael?

Tujenge Taifa letu sasa

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu shukrani kwa makala nzuri, Hivi huyu jamaa ndio ana uhusiano wowote na kampuni ya magari ya umeme ya Tesla ya Elon Musk, namkubali sana Musk na kampuni zake za mambo ya uvumbuzi kama SpaceX, Tesla, Hyperloops n.k jamaa nae pia ni inventor wa ukweli
 
Back
Top Bottom