Nikosoe kama nimekosea kuhusu UTT Liquid acc

Basi wafanye ku update pia kwenye website yao hayo mabadiliko, coz watu wanasoma yaliyoandikwa kwenye website ili kuwapa muongozo ni mfuko gani ni sahihi kwa kuwekeza

Tunapoelekea kwenye uchaguzi mambo yanawezz yakawa magumu zaidi
 
Huo ukata wa fedha kivipi wakati mfuko unaona thamani yake inaongezeka. Mfano Liquid kwa sasa ina value ya 1 Tillion TZS. Au hii value haina uhusiano wa moja kwa moja na pesa zilizowekezwa?
 
Hili somo ni zur wazee tunahitaj kufaham t na si kulishana matango poli
 
Huu mfuko wa umma unajitegemea wenyew kama taasis au upo ndan ya benki hapa nchin?
 
Yawezekana sijakuelewa mkuu yaani niweke m100 halafu kwa mwezi nipate gawio la m1 tu? akili gani hii?

Au una mapesa hadi hujui pa kupaleka sio?
 
Hakuna, mm nilitoa wa 12 ilikaa siku 3 tu
 
Kwahiyo naweka mara moja puuuu, let's say 10m alafu nakuwa nalamba faida? Maana nilivyomsoma mleta uzi unaweza ukaweka kidogo kidogo na ukitaka kutoa unaweza ukachukua ela yako. (Hapa kwenye kuweka kidogo kidogo nikajiuliza calculation ya faida inakuaje kwenye ela iliyowekwa vipindi tofauti tofauti)
 
Mkuu, Mimi nakukosoa kidogo, hapo uliposema kuweka hela ni bure. Inategemea unatumia njia gani, Kama ni kupitia CRDB au NMB ni sahihi ni Bure,
Ila kama utatumia mitandao ya simu (Vodacom, Tigo, Airtel) kuweka hela UTT kuna makato tena makubwa tuu
Umeniwahi tu mkuu
Uko sahihi, Mimi nilianza kuweka kuanzia Liquid, 100k nilikatwa kama 1500+
 
Umeniwahi tu mkuu
Uko sahihi, Mimi nilianza kuweka kuanzia Liquid, 100k nilikatwa kama 1500+
Unaona sasa ya 100k unakatwa 1500, Sasa iyo 100k huko utt mpaka ije kuzaa hiyo 1500 ni miezi miwili,
inabidi tuwe makini sana
 
Unaona sasa ya 100k unakatwa 1500, Sasa iyo 100k huko utt mpaka ije kuzaa hiyo 1500 ni miezi miwili,
inabidi tuwe makini sana
Kuweka pesa kwa njia ya bank ni bure kwa njia ya simu lazima ijumuishe makato ya kulipia huduma
 
Gharama za uendeshaji hukatwa jumla kwenye mfuko husika mfano mfuko una jumla ya trilion 1 wakikata 2% kwenye account yako huenda ikapita 0.00007% ambapo kimsingi huwezi kuiona au kuigundua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…