Nikupe siri 3 usizozijua ewe mwanaume unayenunua 'Dada Poa' kwa lengo la kujiridhisha kingono

Vipi ata hawa wa badoo tinder na tagged nao wana mikosi?
 
Acheni kununua dada poa. Lakini hata hivyo hata hao unaodhani hawajiuzi nao wana namna zao za kujiuza. Inadaiwa asilimia 80-90 ya wanawake mjini wanajiuza. Tofauti yao ni kwamba, wengine ni full time na baadhi ni part time (Wana kazi zao nyingine). Wengine wanaojificha kwenye kivuli cha kuhudumiwa lakini ni wafanya biashara pia.
 
Utasikia wanakuambia husile Kitimoto , mwingine atakwambua husinywe pombe, mwingine atakwambia husile vyakula vya wanga, mwingine atakwambia husile nyama nyekundu nk.

HAO WOTE WANAOSEMA HIVYO NI VICHAA KAMA HUYU MLETA ..........
Makatazo yamekuwa mengi mno, kiasi cha maisha kukosa maana.

Ina boa mtu anatoka anakotoka na imani imani zake na kuja kukataza alivyo kataa yeye.
 
Watu wanashukia mtoa mada jumla jumla.
 
Malaya wanasemwa ila wala hata taarifa hawana!, wanasubiri mmalize kikao chenu muende mkajiburudishe mitima yenu..😁
 
Hawawezi kukusikia hao wapenda ngono,lakini Bora wakanunue kuliko kubaka watoto,Acha yakanunue Tu kwanza hiyo biashara ya kitambo kabla ya yesu!
 
Hawawezi kukusikia hao wapenda ngono,lakini Bora wakanunue kuliko kubaka watoto,Acha yakanunue Tu kwanza hiyo biashara ya kitambo kabla ya yesu!
Hakuna cha maroho wala nini.

Hzii ni njaa zinatusumbua
 
ngoja nikupe stori kama ni mimi lakini sio mimi
Siku hiyo wife alizingua sana. Wiki nzima nami nikakomaa tu simbembelezi wala nini. Basi nikaenda pale Sinza nikabeba mmoja na nina bia zangu za kutosha kichwani. Akasema elfu 5, nikakubali maana hata sijui bei ila ndio shetani kanikaba na sina la kufanya. Basi akaniambia tusogee kwenye uchochoro pale 92 Sinza enzi hizo. Tuliposogea uchochoroni bado nashangaa shangaa maana sijawahi kufanya hii biasshara... kitoto kilinistua we mzee njoo.. changamka hapa tutatoa alfu ya mlinzi. nikakubali. Basi mlinzi akapewa alfu tukaingia kichochoroni. kale katoto kakainama na kufunua kisketi ... uwii hakana nguo nyingine.... nilivyoona vile stim ikakata.... Kakaanza kunivuta njoo tumalize bana muda unaenda.... nilisogea kama kondooo sijui la kufanya basi nikajikaza na kuanza kuvuta hisia.... yaani ni sheeedah ... huku na huku shughuli ikaendelea.. ile naanza hisi kumaliza safari kale kamtu kakachomoka na kusema baiiii nawahi wateja.. ukija siku nyingine nitafute.... shwaini kabisa.. kaliniacha nimeshangaa sijui najisafishaje, navaaje, Sio siri nilijisikia vibaya sana... nikajizoa zoa pale na kupisha wengine wanaingia kichochoroni sikuamini kama nimeweza kufanya uchafu ule... nikajiambia ndio nini sasa.... SIJARUDIA TENA na sintarudia. Wandugu, tuachane na hii biashara hata Mungu hapendi.
 
Wanawake asilimia kubwa 90+ ni Malaya amini nakwambieni ndugu zanguni
 
ujumbe mzuri, ila ukweli ambao haujaufunua pia ni huu; kufanya zinaa au uasherati ni dhambi inayoua roho na mwili, inakutenganisha na Mungu hivyo kuishi maisha vulnarable to be attacked by anyone. pili kidunia dunia, mwanaume au mwanamke anayelala na watu wengi, hukusanya mashetani mengi yanayoanza kuishi kwake, mwanadamu anaweza kuvamiwa na mashetani mengi sana. kama unakiumbuka Yesu aliwahi kumkuta mtu mwenye mashetani yakajitambulisha kwa jina la jeshi kwa sababu yapo mengi. kila mtu anayezini huwa na pepo mchafu, hivyo kadiri unavyozini ndivyo unavyokusanya mapepo, umefungua mlango. hakuna mashetani mazuri, mwivi haji ila kuua kuchinja na kuharibu hivyo yakija kwako kazi yao kukuharibu tu. wengine huwa wanaelelea jambo hili kuwa ukilala na wengi umekusanya mikosi na mabalaa mengi. hadi kuja kupona hiyo hali lazima Damu ya Yesu Kristo ihusike, au la, hata ukiona mabalaa yanakuchelewesha jua tu shetani anakulia timing akupieleke kibra au amekuweka kama kitendea kazi kuharibu wengine, hivyo wewe ni wake.

Mungu alituumba ili tuishi pamoja naye, na tumwabudu, yaani sisi tuwe mali yake. nakumbuka siku moja niliona maono, nikiwa katikati ya vita kali sana majeshi yamezunguka kila mahali, ni majeshi hatari sana, ndipo yalitaka kunirukia, kamanda wao akawaelekeza kwamba wakashambulie kwengine wasinishambulie mimi kwa sababu mimi ni mali ya Yesu. nilifunuliwa kuwa, tangu nimpe Yesu maisha yangu, mimi ni mali yake, ameninunua kwa Damu yake ndivyo Biblia inavyosema na kama ameninunua basi mimi ni wake. na kama ni wake, vita si vyangu, ni vya Bwana na shetani hana haki kunifanya chochote kwa sababu Yesu amenilipia deni langu lote. mtu mmoja akaandika kuwa Damu ya Yesu ni risiti, shetani akitaka kukudhuru mwonyeshe risiti kwamba hana haki, hakudai kitu , risiti hii hapa, hatudaiwi. hata akiwa anatudhuru tunadhurika kwa kutokuwa na maarifa au kwa kufungua milango, tukifungua milango kwa dhambi shetani anapata nafasi kuingia na kutudhuru, ila kama milango imefungwa kwa kutenda mema basi hana haki na hata akija ukimfukuza kwamba ondoka hauna haki anaondoka. wengi pia wamedhurika kwa kutojua mamlaka kubwa sana Ya Jina la Yesu iliyo ndani yao, wakati upande wa pili (shetani) anaijua sana hiyo mamlaka na anaitii ukimwamuru.
 
Kila alalae na kahaba amekuwa mwili mmoja thus ukisaliti tu ndoa yako lazima utavuta maroho ya migogoro ndani na lazima mtaachana tu
 
Hata mimi wachawi hawaniwezi wanakuja sana usiku nawaona huwa siwaogopi wanapotea huwa nawarushia mishale tilioni moja ya damu ya Yesu icheze nao hadi kwenye madhabau zao ikateketeze kabisa sasa sijui ndo maana vita vimekuwa vikubwa sana kwangu lkn hawaniwezi hawa wapumbavu mateka wa shetani badala ya kulala usiku wao wanawanga
 
NOMA SANA....

Comments zinachekesha sana.
 
“Maana kwa malaya mtu hutiwa katika hali ya kuhitaji kipande cha mkate; Na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo ya thamani

— Mithali 6:26 (Biblia Takatifu)
 
“Kinywa cha malaya ni shimo refu; Anayechukiwa na Bwana atatumbukia ndani yake.

— Mithali 22:14 (Biblia Takatifu)
 
Tusipangiane maisha, wewe unayetunza hivyo vishahawa ili usirogwe, hebu tuonyeshe hizo ghorofa unazomiliki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…