Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makatazo yamekuwa mengi mno, kiasi cha maisha kukosa maana.Utasikia wanakuambia husile Kitimoto , mwingine atakwambua husinywe pombe, mwingine atakwambia husile vyakula vya wanga, mwingine atakwambia husile nyama nyekundu nk.
HAO WOTE WANAOSEMA HIVYO NI VICHAA KAMA HUYU MLETA ..........
Si zimeshikwa tamu zao..😅Watu wanashukia mtoa mada jumla jumla.
Hakuna cha maroho wala nini.Hawawezi kukusikia hao wapenda ngono,lakini Bora wakanunue kuliko kubaka watoto,Acha yakanunue Tu kwanza hiyo biashara ya kitambo kabla ya yesu!
ujumbe mzuri, ila ukweli ambao haujaufunua pia ni huu; kufanya zinaa au uasherati ni dhambi inayoua roho na mwili, inakutenganisha na Mungu hivyo kuishi maisha vulnarable to be attacked by anyone. pili kidunia dunia, mwanaume au mwanamke anayelala na watu wengi, hukusanya mashetani mengi yanayoanza kuishi kwake, mwanadamu anaweza kuvamiwa na mashetani mengi sana. kama unakiumbuka Yesu aliwahi kumkuta mtu mwenye mashetani yakajitambulisha kwa jina la jeshi kwa sababu yapo mengi. kila mtu anayezini huwa na pepo mchafu, hivyo kadiri unavyozini ndivyo unavyokusanya mapepo, umefungua mlango. hakuna mashetani mazuri, mwivi haji ila kuua kuchinja na kuharibu hivyo yakija kwako kazi yao kukuharibu tu. wengine huwa wanaelelea jambo hili kuwa ukilala na wengi umekusanya mikosi na mabalaa mengi. hadi kuja kupona hiyo hali lazima Damu ya Yesu Kristo ihusike, au la, hata ukiona mabalaa yanakuchelewesha jua tu shetani anakulia timing akupieleke kibra au amekuweka kama kitendea kazi kuharibu wengine, hivyo wewe ni wake.1. Huyo unaemnunua anamvulia kila Mwenye pesa hata kama ni kichaa, ivyo wewe msafi unavyoenda kushiriki nae unajivisha Maroho machafu kwa starehe ya dk tu🤦♂️
2. Hivi unatambua baadhi ya matajiri hununua mbegu zenu kwa hao malaya mnaowaita Dada poa. Maana unapomwaga wanawahi kukuvua condom na wewe unadhani ni mahaba. Lini malaya akawa na mahaba na Iliali kila Mwenye pesa anakojoa?
Kifupi ni kwamba baadhi ya matajiri uingia biashara na madada poa wamkusanyie mbegu za wanaume kadhaa na azipeleke kwa mganga ili afanyiwe Dawa ya kusudi lake la utajiri. Hivyo nguvu zako Zote za utafutaji zinauzwa na kahaba kwa elfkumi tu na unakua nguvu zako umezipoteza kwa raha ya dk tu hata upambane vipi utoboi,
3. Ukionja huachi kamwe. Tena utajifanya unahudumia kuliko unavyo hudumia Mke wako na watoto. Huku unajua mnakula wengi Lakini uwazi. Kosa la yote nikile kitambaa alicho kufuta Baada ya tendo. Akakupumbaza kwa madawa. Ivyo uoni usikii😳
JITAMBUE DUNIA HAIPO KAMA UIONAVYO KWA MACHO YA KAWAIDA😳
Usipo kua na jicho la tatu. Omba Mungu akupe macho ya rohoni.
✌️🥴 kunjua sura
Hata mimi wachawi hawaniwezi wanakuja sana usiku nawaona huwa siwaogopi wanapotea huwa nawarushia mishale tilioni moja ya damu ya Yesu icheze nao hadi kwenye madhabau zao ikateketeze kabisa sasa sijui ndo maana vita vimekuwa vikubwa sana kwangu lkn hawaniwezi hawa wapumbavu mateka wa shetani badala ya kulala usiku wao wanawangaujumbe mzuri, ila ukweli ambao haujaufunua pia ni huu; kufanya zinaa au uasherati ni dhambi inayoua roho na mwili, inakutenganisha na Mungu hivyo kuishi maisha vulnarable to be attacked by anyone. pili kidunia dunia, mwanaume au mwanamke anayelala na watu wengi, hukusanya mashetani mengi yanayoanza kuishi kwake, mwanadamu anaweza kuvamiwa na mashetani mengi sana. kama unakiumbuka Yesu aliwahi kumkuta mtu mwenye mashetani yakajitambulisha kwa jina la jeshi kwa sababu yapo mengi. kila mtu anayezini huwa na pepo mchafu, hivyo kadiri unavyozini ndivyo unavyokusanya mapepo, umefungua mlango. hakuna mashetani mazuri, mwivi haji ila kuua kuchinja na kuharibu hivyo yakija kwako kazi yao kukuharibu tu. wengine huwa wanaelelea jambo hili kuwa ukilala na wengi umekusanya mikosi na mabalaa mengi. hadi kuja kupona hiyo hali lazima Damu ya Yesu Kristo ihusike, au la, hata ukiona mabalaa yanakuchelewesha jua tu shetani anakulia timing akupieleke kibra au amekuweka kama kitendea kazi kuharibu wengine, hivyo wewe ni wake.
Mungu alituumba ili tuishi pamoja naye, na tumwabudu, yaani sisi tuwe mali yake. nakumbuka siku moja niliona maono, nikiwa katikati ya vita kali sana majeshi yamezunguka kila mahali, ni majeshi hatari sana, ndipo yalitaka kunirukia, kamanda wao akawaelekeza kwamba wakashambulie kwengine wasinishambulie mimi kwa sababu mimi ni mali ya Yesu. nilifunuliwa kuwa, tangu nimpe Yesu maisha yangu, mimi ni mali yake, ameninunua kwa Damu yake ndivyo Biblia inavyosema na kama ameninunua basi mimi ni wake. na kama ni wake, vita si vyangu, ni vya Bwana na shetani hana haki kunifanya chochote kwa sababu Yesu amenilipia deni langu lote. mtu mmoja akaandika kuwa Damu ya Yesu ni risiti, shetani akitaka kukudhuru mwonyeshe risiti kwamba hana haki, hakudai kitu , risiti hii hapa, hatudaiwi. hata akiwa anatudhuru tunadhurika kwa kutokuwa na maarifa au kwa kufungua milango, tukifungua milango kwa dhambi shetani anapata nafasi kuingia na kutudhuru, ila kama milango imefungwa kwa kutenda mema basi hana haki na hata akija ukimfukuza kwamba ondoka hauna haki anaondoka. wengi pia wamedhurika kwa kutojua mamlaka kubwa sana Ya Jina la Yesu iliyo ndani yao, wakati upande wa pili (shetani) anaijua sana hiyo mamlaka na anaitii ukimwamuru.