KERO Nikwamba wafanyakazi wa Tanesco hawana nyimbo zingine tofauti na nyimbo za matusi wanazoimba kila leo wakiwa site?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Status
Not open for further replies.
Hizo ndio zinahamasisha vizuri na kijikuta wanapata nguvu ya ajabu ya kuanza kubeba hayo magogo (nguzo).

Wakiimba gospel hata nguvu haziji, kazi zina delay
 
Hizo ndio zinahamasisha vizuri na kijikuta wanapata nguvu ya ajabu ya kuanza kubeba hayo magogo (nguzo).

Wakiimba gospel hata nguvu haziji, kazi zina delay
Inshort matusi yaruhusiwe iwapo tu kuna kazi ngumu na haijarishi ni mahali gani ilipo si ndio mkuu?
 
Ndiyo,kama kifungua kinywa
Hii ni maajabu
Nakumbuka mwaka 1992 umeme ndio ulikuwa unaingia kwa Mara ya kwanza kwenye viwanda vya chai. Kwakweli tulishuhudia mengi ikiwa ni pamoja na haya matusi ya rehareja
 
Ungewasogelea uwaambie hivyo wenyewe
Nchi tuna amani ndio maana huwa tunachukuliana tu. kuna jamaa aliwatimua mbio bahati nzuri ile nguzo ilikuwa inaenda kwa mfanyakazi wao mkubwa mbona hawakuimba na kazi ilienda vizuri tu? jamaa alikuwa mfanyakazi wa mahakama sijui cheo alichokuwa nacho
 
Mmh kuhusu nyimbo za matusi kukatazwa hapana,kuna nyimbo zinaimba matusi sana naziskia kila siku..
Na kuhusu kuja kuimba nikiwa na familia sijawahi kuwasikia mtaani nawaonaga wanapita tu kwenye roll limeandikwa Tanesco wako vifua wazi
 
Ndio maana unasema. wao hata nguzo inasimikwa kando ya kiwanja chako na wanaweza kuja kuomba maji hapo kwako wanakuona unawaona unawasikia wanakusikia lkn wataimba matusi yote hadi kazi iishe! mara nyingi huwa tunakimbia miji yetu kuwapisha yaani ukiwaona hao hapo wee toka kwako kama ulikuwepo tu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…