KERO Nikwamba wafanyakazi wa Tanesco hawana nyimbo zingine tofauti na nyimbo za matusi wanazoimba kila leo wakiwa site?

KERO Nikwamba wafanyakazi wa Tanesco hawana nyimbo zingine tofauti na nyimbo za matusi wanazoimba kila leo wakiwa site?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Status
Not open for further replies.
Hii thread nimecheka mno, nakiri nilikuwa siyajui haya.

Lakini mtoa mada mbona kama nawe unafurahia hayo matusi? Unalalamika huku unatoa full details.
Hii imejengeka kama tabia ndio maana hata humu watu wanasapot kwa nguvu zote kuwa ni sawa. nafurahishwa na baadhi ya michango ya wadau inakubidi tu react kwa kucheka
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom