Nikifa MkeWangu Asiolewe JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 6,944 Reaction score 14,351 Dec 9, 2024 Thread starter #61 Nifah said: Hii thread nimecheka mno, nakiri nilikuwa siyajui haya. Lakini mtoa mada mbona kama nawe unafurahia hayo matusi? Unalalamika huku unatoa full details. Click to expand... Hii imejengeka kama tabia ndio maana hata humu watu wanasapot kwa nguvu zote kuwa ni sawa. nafurahishwa na baadhi ya michango ya wadau inakubidi tu react kwa kucheka
Nifah said: Hii thread nimecheka mno, nakiri nilikuwa siyajui haya. Lakini mtoa mada mbona kama nawe unafurahia hayo matusi? Unalalamika huku unatoa full details. Click to expand... Hii imejengeka kama tabia ndio maana hata humu watu wanasapot kwa nguvu zote kuwa ni sawa. nafurahishwa na baadhi ya michango ya wadau inakubidi tu react kwa kucheka