Niliacha kushabikia mpira nilipobaini Mpira unageuza Watu Wachawi!


Hapo kwenye MASLAHI ni kweli. Bora ningekuwa siumiiπŸ˜‚πŸ˜‚ lakini haiwezekani Pesa nimetoa mwenyewe, muda wangu nimetoa mwenyewe alafu mje mniumize. Hiyo siwezi kuvumilia πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mtu anaweza akabadili dini au hata kabila vitu ambavyo ulichaguliwa na wengine ila sio Timu ya Mpira…

Wewe hapo ulipo ni kama sisi Mashabiki wa Arsenal wa tangu enzi za kina Nicolas Anelka, Yaani hapo unaweza usiumie Yanga akishinda ila
Unafurahi zaidi Simba akishinda…
 
Huwezi kuwa mshabiki wa mpira alafu ukaacha kushabikia mpira. Hiyo haiwezekani hata siku moja.

Siku timu yako ikishinda ndiyo unagundua Kumbe bado mpira upo moyoni maana Kuna Hali fulani hivi ya Raha unajisikia. Na siku timu uliyokuwa unaishabikia alafu ukajifanya kuacha kushabikia,ikipoteza dhidi ya ile timu uliyokuwa unaichukia,Kuna ka hali fulani ka maumivu unakafeel. Yaani wewe ulikuwa mshabiki wa Simba alafu siku Simba icheze na Yanga Kisha Simba ikashinda alafu usijisikie Raha!!!?? Uwongo.

Binafsi ushindi wa Yanga naufurahia kwa sababu ya utanzania ila kimoyomoyo inaniuma Sana,huo ndiyo ukweli,na ndiyo mpira ulivyo. Namshangaa Sana Manara alijejifanya kuhama timu,ule ni uongo na unafiki mkubwa sana. Jamaa ana mapambano makubwa Sana ya yeye na nafsi yake.
 
Mkuu umeshaokoka? kama jibu NDIO basi hongeraaa umeepukana na uchawi..
 
Nimejitahidi kuwa shabiki nimeshindwa mpira nafatilia mno, mechi natazama ila mpaka leo sishabikii simba au Yanga huwa kabla ya mechi naangalia nani ana kikosi kizuri basi huyo ndo namfagilia ashinde so leo utanikuta yanga kesho simba sieleweki na sivai jezi yoyote
 

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Haya mambo sijui tutafanyaje, maana hata ukijifanya umeyapuuza lakini yanakuumiza
 

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huwezi kuwa neutral kwenye mpira
Hata ukiwa mchezo wa kugombanisha jogoo utanikuta umepata upande
 
Iwafikie wachawi wote wa JF wakiongozwa na Mshana Jr

Kalpana, GENTAMYCINE, Scars, Teko Modise, Carrasco putinn, danymTZ, mbongo_halisi, Emmahu, et el
 
Huyu bado hakuwa mshabiki wa hivyo.

Amuulize Chaliifrancisco aliwahi kuja na uzi hapa wa kuacha kushabikia Simba, leo yuko wapi na msimamo wake?

Hii ishu ni ngumu addiction yake bora puli yani hii unakuwa offline kwa muda mfupi tu siku timi yako ikifanya makubwa watu watabisha kuwa sio wewe yule uliyeweka viapo vya kuacha ushabiki
 
Km ni hv bc mimi ni mchawi hili halina ubishi na siwezi kuacha mpka kombe la shirikisho lipotelee huko
 
Mkuu kwani uliwahi kuniona tena kwenye jukwaa la sports nikishabikia Simba 🀣
 
mimi niliacha kushabikia mpira miaka 11 iliyopita
 
Ila ushabiki wa mpira unataka roho ya chuma jamani, ukiwa na moyo mwepesi unaweza kufa kwa presha.

Mi nakumbuka mwaka fulani nilikuwa na rafiki yangu tukaenda kibanda umiza kuangalia mechi ya Man Utd Vs Tottenham, jamaa alikuwa shabiki sugu wa Man Utd.Ile siku Manchester ilichapwa kichapo kizote. na Tottenham jamaa akalia machozi Hadi nikamhurumia.
 
Ila ushabiki wa mpira unataka roho ya chuma jamani, ukiwa na moyo mwepesi unaweza kufa kwa presha.

Mi nakumbuka mwaka fulani nilikuwa na rafiki yangu tukaenda kibanda umiza kuangalia mechi ya Man Utd Vs Tottenham, jamaa alikuwa shabiki sugu wa Man Utd.Ile siku Manchester ilichapwa kichapo kizote. na Tottenham jamaa akalia machozi Hadi nikamhurumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…