Niliacha kushabikia mpira nilipobaini Mpira unageuza Watu Wachawi!


πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ni kama mambo ya Imani. Unaumi utadhani timu ya Babaako bhana
 
Mimi sio mshabiki kabisa ila nashangaa sna inakua vipi kijana wa Leo mtanashati au binti mrembo tu ana shabikia Yanga !!!!!!!
 
Tumepumzika kidog , Kwa vile hawajaisha tutaresume Kati ya October na December mana atapekechwa mwingine

πŸ˜‚πŸ˜‚
Adui WA watanzania ni watanzania wenyewe.
Mbaya zaidi mtanzania anaungana na adui kuiangamiza nchi yake.
Ubinafsi ni kitu kibaya Sana
 
Alafu nilikuwa sina bahati, kila nitakapokaa kuangalia Mpira hasa Ile ya saa nne, kipindi kile Liverpool inahali mbali, lazima ifungwe.
Sasa hivi mkuu unapitwa uhondo! Tuko tunamkimbiza Man U kwenye top 4 ni hatari! Tumeshinda game 7 mfululizo!
 
Sasa hivi mkuu unapitwa uhondo! Tuko tunamkimbiza Man U kwenye top 4 ni hatari! Tumeshinda game 7 mfululizo!

πŸ˜‚πŸ˜‚
Mkuu hongereni Sana. Lakini kurudi sitaki. Maumivu ya Mpira wengine hatuwezi kuvumilia. Yanini kujipa jaka la Roho
 
Kwa hiyo sisi tufanyeje sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…